×


FacebookKajala: Afadhali uchaguzi umefika

  Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, amefunguka kuwa anamshukuru Mungu uchaguzi umefika kitu ambacho alikuwa akikiomba usiku na mchana. Akizungumza na…

SOMA ZAIDI


Mastaa wazungumzia uchaguzi

Na Gladness Mallya IKIWA kesho Jumapili ndiyo siku ya uchaguzi mkuu ambapo Watanzania wataamua nani awe rais wao, mastaa mbalimbali wamezungumza na Risasi Jumamosi kueleza…

SOMA ZAIDI

Waoo…! Kama Jana Vile!-17

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “Mh! Atakuwa nani? Ni mama Monica au kaka yake, Daudi? Maana sina namba ya Daudi lakini kama ni mama Monica kwa nini…

SOMA ZAIDI

Al-Shabaab Ni Nani? -13

Marekani yatangaza kuua kiongozi wa Al-Shabaab ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza juu ya kundi haramu la kigaidi la Al-Shabaab lilivyotuma vitisho vya kutaka kuvamia…

SOMA ZAIDI

Ubunge kumwachisha Kingwendu uigizaji

Chande Abdallah Mchekeshaji maarufu Bongo, Rashidi Mwinishehe ‘Kingwendu’ ameweka wazi kwamba yupo njiani kuachana na mambo ya uigizaji mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge. Akizungumza…

SOMA ZAIDI

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa 28

Abikanile anafariki wakati akijifungua, mtoto wake aliyepewa jina la Mtima kama yalivyokuwa maelekezo ya Abikanile kupitia barua aliyoiacha anachukuliwa na Mzee Johannes aliyekwenda kumlea kama…

SOMA ZAIDI


Mainda awaomba radhi mashabiki

Brighton Masalu KUTOKANA na kukaa kimya kwa muda mrefu bila kujihusisha na kazi yake ya uigizaji, msanii wa muda mrefu, Ruth Suka ‘Mainda’  amewaomba radhi…

SOMA ZAIDI

Mrembo amtibu Aunt kitambi

Mrembo Fatina Deus, ‘Fettylicious’ akiwa na Aunt Ezekiel. Imelda Mtema MREMBO aliyejulikana kwa jina la Fatina Deus, ‘Fettylicious’ amesema  amempa bure tiba ya kitambi staa wa…

SOMA ZAIDI

Joto la Mapenzi – 45

ILIPOISHIA… “Hapana lazima akaisaidie polisi, lazima tumjue huyu jamaa ni mtu wa aina gani hawezi kutoroka pamoja na kuua vijana wetu.”   Kabla ya kuondoka ulifanyika…

SOMA ZAIDI

Jinsi ya kupika Maboga ya Nazi

Nakukaribisha mpenzi msomaji wangu katika safu hii ya Mahanjumati ambapo kutokana na meseji zenu leo tutajifunza kupika maboga ya nazi. Chakula ambacho ni rahisi sana…

SOMA ZAIDI

No Picture

Penzi Lisiloisha  048

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kufanya chochote kumsaidia msichana huyo. Licha ya tofauti kubwa ya hali zao kiuchumi, Anna akitokea…

SOMA ZAIDIAjali yaua watu 42 Ufaransa

Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo wakipatiwa huduma ya kwanza. TAKRIBANI watu 42 waliokuwa wakienda kutalii wamefariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na…

SOMA ZAIDI


Nicki, Meek wadaiwa kuandaa ndoa kwa siri

NEW YORK, Marekani MASTAA Nicki Minaj na laazizi wake Meek huenda wakafunga ndoa wiki hii baada ya mtu wa karibu na Meek kufunguka kuwa mishe za shughuli hiyo zimeanza kwa siri. Akisambaza umbea kwenye mtandao mmoja wa habari za mastaa, sosi huyo alisema…

SOMA ZAIDI

Wimbo wa Sorry wa Chris Brown waibua maswali!

NEW YORK, Marekani WIMBO wa hivi karibuni alioutoa Mwanamuziki Rick Ross akimshirikisha Chris Brown unaokwenda kwa jina la Sorry, umeibua maswali kutokana na mashairi yake kuwagusa wapenzi wa zamani wa Chris,…

SOMA ZAIDI

No Picture

Mabilionea Wasio na Huruma 60

Dk. Viola na Vanessa, mabilionea wanawake wawili hatari ambao waliapa tangu wakiwa watoto wadogo kwamba kwao kutajirika lilikuwa ni jambo la lazima, wakatumia elimu walizozipata,…

SOMA ZAIDI

Magufuli amaliza kazi

Na Richard Bukos, Pwani MGOMBEA Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, (pichani) amemaliza kazi huku akitarajia kumwaga sera za mwisho katika Viwanja…

SOMA ZAIDI

No Picture

Maguli: Bora Yanga, Simba hapana

Straika wa Stand United, Elius Maguli. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam STRAIKA wa Stand United, Elius Maguli ambaye amekuwa na kasi nzuri katika ufungaji, amejinadi…

SOMA ZAIDI


No Picture

Pape N’daw mchawi

Mshambuliaji wa Simba, Pape N’daw. KWA mujibu wa kamusi kadhaa za Kiswahili, neno ‘uchawi’ ni ufundi wa kutumia dawa au vitabu maalum vya uganga ili…

SOMA ZAIDI
Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-21

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: “Natoka kazini napitia kwa rafiki yangu Rukia… kuna ishu ya kuzungumza naye…” Hakujibiwa meseji hiyo lakini yeye hakujali, akamgeukia Musa……

SOMA ZAIDI

Mchezaji wa Yanga hali tete

INATISHA! Hali ya mchezaji wa zamani wa Yanga, Nsa Job ni tete inayohitaji maombi katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi kufuatia kupigwa jiwe…

SOMA ZAIDI

Davina ahamasika kugombea ubunge

Na Hamida Hassan HALIMA Yahya ‘Davina’ amehamasika na mambo ya kisiasa hivyo, kujiandaa kwa kujifua vyema kwa ajili ya msimu ujao wa uchaguzi (2020). Akizungumza…

SOMA ZAIDI

Notice: ob_end_flush(): failed to send buffer of zlib output compression (0) in /home/globalpublishers/public_html/wp-includes/functions.php on line 4536