Pedeshee Ndama Alipa Milioni 200 na Kuachiwa Huru kwa Dhamana
Baada ya kufanikiwa kulipa faini ya milioni 200 hatimae jana mfanyabiashara , Ndama Shabani Hussein, maarufu kama Pedeshee Ndama mtoto ya Ng'ombe amepata dhamana.
Ndama amepata dhamana baada ya kuwa na wadhamini wawili na…
