SERENGETI BOYS U17 YACHAPWA 5-4 NA NIGERIA TAIFA
WENYEJI, Tanzania wameanza vibaya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U-17) baada ya kuchapwa mabao 5-4 na Nigeria katika mchezo wa ufunguzi Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam…
