After School Bash yafana Escape One
Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz akifanya makamuzi yake.Bella 9 akionyesha umahiri wake jukwaani hapo.DJ Zirro (katikati), akisababisha burudani kwenye mashine, chini ya uangalizi wa Adam Mchomvu na B12.Mr Blue na crew yake nzima ya BOB…
