Polisi Yakamata Silaha Haramu 160 Ruvuma
POLISI mkoani Ruvuma imefanikiwa kukamata silaha mbalimbali 160 zinazodaiwa kuwa ni haramu katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2020 pamoja na watuhumiwa 68.
Akizungumza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma,…
