Tanzia: Baba Mzazi wa Msanii wa Bongo Fleva Belle 9 Afariki Dunia
MSANII wa Bongo Fleva nchini Abednego Damian, 'Belle9', amepata pigo baada ya kuondokewa na baba yake mzazi Damian Nyamoga.
Meneja wa Belle9, Jahz Zamba amethibitisha taarifa za hiyo huku akieleza kuwa mzee Damian amefariki dunia…
