×

Tag: Arsenal

Arsenal Wakosoa Uamuzi Laini wa VAR wa Kukataa Bao Lao Dhidi ya Manchester United

KOCHA mkuu wa Arsenal Mikel Arteta na nahodha wa timu hiyo Martin Odegaard wamekosoa uamuzi wa kukataliwa kwa bao la...

READ MORE

Arsenal Yatuma Ofa kwa Winga wa Villarreal, Ana Mkataba Wenye Kipengele Kigumu

KLABU ya Arsenal imetuma ofa ya Paundi milioni 40 kwa Villarreal ya nchini Hispania kwa ajili ya kuinasa saini ya...

READ MORE

Arsenal Yamtangaza Odegaard Kuwa Nahodha Mpya, Arithi Mikoba ya Xhaka

KLABU ya Arsenal imemtangaza rasmi Martin Odegaard kama Nahodha mpya kuelekea msimu mpya wa 2022/2023.   Arsenal ilimsajili mchezaji huyo...

READ MORE

Baada ya Kutangaza Kustaafu Soka Wilshare Alamba Dili ya Ukocha Arsenal

KLABU ya Arsenal imempatia dili kiungo wake mshambuliaji wa zamani Jack Wilshare kuwa kocha wa timu ya vijana chini ya...

READ MORE

Klabu ya Arsenal Imefanikiwa Kuinasa Saini ya Kinda wa Ureno, Yampa Miaka 5

KLABU ya Arsenal ya nchini Uingereza imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa klabu ya FC Porto ya nchini Ureno...

READ MORE

Arteta Ajitia Kitanzi Arsenal Hadi 2025, Adai Anajisikia Faraja Kudumu Klabuni

ARSENAL imemuongezea dili jipya Kocha Mkuu Mikel Arteta ambao utamfanya awe hapo mpaka mwaka 2025 akikinoa kikosi hicho kinachoshiriki Ligi...

READ MORE

Mechi ya Arsenal vs Liverpool Yaahirishwa

Mchezo wa kombe la EPL kati ya Arsenal na Liverpool uliopangwa kuchezwa kesho umeahirishwa kutokana na kuongezeka kwa wimbi la...

READ MORE

Newcastle Wamtaka Aubameyang

Klabu ya Newcastle United wametuma maombi kwenda Arsenal ili kuipata saini ya Mshambuliaji wa klabu hiyo, Pierre-Emerick Aubameyang, 32, katika...

READ MORE

Arsenal Yatinga Nusu Fainali Carabao Cup

Washika mitutu wa London, Arsenal wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya...

READ MORE

Utovu wa Nidhamu, Aubameyang Avuliwa Unahodha Arsenal

KLABU YA ARSENAL imemvua unahodha Pierre-Emerick Aubameyang na hatacheza kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya West Ham...

READ MORE

Man United Yaichakaza Arsenal

Mashetani Wekundu, Manchester United wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England katika...

READ MORE

Beki wa Arsenal Gabriel Apambana na Majambazi Gereji Kwake

Nyota wa Klabu ya Arsenal, Gabriel Magalhaes amekabiliana na wezi waliokuwa wameficha nyuso zao na kujihami kwa silaha ikiwemo marungu...

READ MORE

Arsenal Yataka Kumbadili Lacazette na Jembe la Sevilla

ARSENAL wanataka kumbadili mshambuliaji wao Alexandre Lacazette ili wao wampate Youssef En-Nesyri wa Sevilla.   Arsenal wanataka kuhakikisha kuwa wanampata...

READ MORE

Mertesacker: Arsenal UEFA ni Baada ya Miaka Minne

KOCHA wa akademi ya Arsenal, Per Mertesacker, amewaambia mashabiki wa wa timu hiyo watarajie kuingia kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya...

READ MORE

Arsenal Dimbani Leo na Rekodi Mbovu

WAKATI  ikishuka dimbani leo dhidi ya Norwich, Klabu ya Arsenal imeweka rekodi mbovu kwa mechi za mwanzo ndani ya Ligi...

READ MORE

Kisa corona, Kambi ya Arsenal Marekani Yayeyuka

ARSENAL imelazimika kujitoa katika michuano ya Florida Cup ambayo itafanyika nchini Marekani, baada ya baadhi ya watu ambao walitakiwa kwenye...

READ MORE

Epl, Ligue 1, Serie A Na Bundesliga Kuunguruma Wikiendi Hii

Kipenga cha soka kupulizwa tena wikiendi hii. Wakati ulimwengu wa soka ukiendelea kufuatilia kwa ukaribu suala la European Super League...

READ MORE

AUBAMEYANG Augua Malaria

Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang ametibiwa hospitalini baada ya kuugua malaria wakati akiwa katika majukumu ya kimataifa na Gabon.  ...

READ MORE

Arteta Afunguka Ishu ya Martinelli

  BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta ametaja sababu ambazo zinamfanya kinda wa timu hiyo, kushindwa kuanza kwenye kikosi cha kwanza....

READ MORE

Manchester City Kucheza Na Tottenham Kesho

Kunako Ligi Soka nchini Uholanzi Ijumaa hii, RKC Waalwijk atachuna na FC Emmen. Kupitia Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 2.15 kwa...

READ MORE

Manchester United v Arsenal Kukiwasha Kesho – Premier

Mambo yanazidi kunoga kwenye Ligi Soka Mbalimbali barani Ulaya. Mbio za Ubingwa na mchakamchaka wa kutoshuka daraja msimu ujao, ni...

READ MORE

Arteta: Spurs Wapo Vizuri Zaidi Yetu

BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta, amekiri kuwa Tottenham inastahili kuwa juu kwenye msimamo wa Premier kutokana na kufanya vizuri, Leo...

READ MORE

London Derby: Tottenham Hotspurs Uso kwa Uso na Arsenal Jumapili Hii

Ni muendelezo wa London Derby katika EPL kwa wiki mbili mfululizo. Baada ya derby ya kwanza kuchezwa Jumapili iliyopita ambapo...

READ MORE

Arteta: Sina Hofu ya Kufukuzwa Arsenal

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema hana hofu ya kufukuzwa licha ya kuwa timu yake imeendelea kuwa na matokeo mabaya,...

READ MORE

Aubameyang Sasa Anatia Huruma

MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Pierre- Emerick Aubameyang ameendelea kuwashtua wengi kutokana na kiwango ambacho amekuwa akikionyesha msimu huu.   Staa huyo...

READ MORE

Man United Yachezea Kichapo Dhidi ya Arsenal

KOCHA wa Arsenal, Mikael Arteta,  amevunja mwiko baada kushinda  dhidi ya Manchester United kwenye mechi ya ligi  ya Uingereza kwenye...

READ MORE

Solskjaer Amuhofia Arteta

BOSI wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anatarajia kuwa na mchezo mgumu mbele ya Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta...

READ MORE

Arsenal Yawakera Atletico Kisa Thomas Partey

KLABU ya Atletico Madrid imeripotiwa kuwa kwa siku za karibuni, haina mpango wa kufanya biashara tena na Arsenal kutokana na...

READ MORE

Carabao Cup; Liverpool vs Arsenal Uso kwa Uso Kwa Mara ya 3 Kesho

Baada ya kufungua msimu mpya wa EPL kwa Mchezo wa Ngao ya Jamii nakisha kukutana kwenye mchezo wa Ligi Kuu...

READ MORE

Aubameyang Amaliza Ukimya Arsenal

HATIMAYE nahodha na mshambuliaji wa klabu ya Arsenal ya England, Pierre Emerick Aubameyang, amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu...

READ MORE

Fainali Kombe la FA: Arsenal vs Chelsea ‘Kukinukusha’ Kesho

Wikiendi hii pazia litafungwa kwenye moja ya mashindano maarufu Uingereza na Ulaya, Kombe la FA. Fainali ya kombe la FA...

READ MORE

Aubameyang: Siondoki Arsenal, Nipo 100%

STRAIKA wa Arsenal, PierreEmerick Aubameyang amewaambia mashabiki wa timu yake kuwa yupo fiti na anajituma asilimia 100 kwa ajili ya...

READ MORE

Arsenal Kujiuliza Kwa Man United Kwenye Dimba la Emirates

BAADA ya kufanya vibaya kwenye michezo miwili ya Ligi Kuu England iliyopita leo kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, atakuwa tena...

READ MORE

Lauren: Tatizo Kubwa Arsenal ni Kiungo

  GWIJI wa Arsenal aliyekuwemo katika kile kikosi kisichofungika ‘Arsenal Invincibles’, Lauren Etame Mayer, anaamini Mikel Arteta anaweza kuipeleka klabu...

READ MORE

Breaking: Arsenal Yamtimua Kocha Mkuu Emery

KLABU ya Arsenal leo Ijumaa, Novemba 29, 2019, imemfuta kazi kocha mkuu wake, Unai Emery, baada ya kushindwa kupata ushindi...

READ MORE

Arsenal Kumtajirisha Zaidi Ozil

MESUT Ozil amesisitiza kuwa ataendelea kuitumikia timu hiyo hadi mkataba wake utakapomalizika hata kama hatakuwa akipata nafasi ya kucheza. Kwa...

READ MORE

Kieran Gibbs Aingia Kwenye Skendo ya Usaliti

NAMKUMBUKA beki wa pembeni Kieran Gibbs ambaye aliwahi kukipiga Arsenal? Sasa baada ya kupotea kwa muda mrefu, hivi karibuni ameibuliwa...

READ MORE

Wenger Amshukia Salah Kisa Uchoyo

KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amemtaka straika wa Liverpool, Mohamed Salah kuacha uchoyo wakati akiichezea timu yake. Kauli...

READ MORE

Luiz: Mabeki Arsenal Inabidi Tujipange

BEKI wa Arsenal, David Luiz amekiri kuwa safu ya ulinzi ya timu yao haipo vizuri ambapo wanatakiwa kurekebisha makosa yao...

READ MORE

Arsenal Yanasa Bonge la Winga

ARSENAL inaaminika imefikia muafaka wa kumsajili winga hatari wa Lille ya Ufaransa, Nicolas Pepe. Klabu inadaiwa ilikubali jana kulipa ada...

READ MORE