×

Tag: Askofu-Gwajima

Gwajima: Migogoro ya Ardhi Kinondoni Inachochewa na Viongozi wa Serikali

Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Josephat Gwajima amesema migogoro ya ardhi Wilaya...

READ MORE

IGP Sirro: Hatujapa Taarifa Rasmi Ili Kumkamata Gwajima

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi linaendeshwa kwa maandishi hivyo wanasubiri barua...

READ MORE

Dk. Mollel: Tutamshugulikia Mch. Gwajima – Video

  Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Mhe. Dkt. Godwin Mollel amemtaka Mbunge wa Kawe na Askofu wa...

READ MORE

Askofu Gwajima Ambwaga Halima Mdee Kawe – Video

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kawe amemtangaza Askofu Josephat Gwajima wa CCM kuwa ndiye mshindi wa jimbo hilo kwa kupata...

READ MORE

Live: Askofu Gwajima Akihubiri Kanisani Kwake Ubungo

 Askofu Josephat Gwajima, leo Agosti 23, 2020 ameongoza ibada kanisani kwake  Kanisa la Ufufuo Ubungo jijini Dar es Salaam.

READ MORE

Gwajima Atangaza Kugombea Ubunge Kawe

ASKOFU Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo jana,  Julai 1,...

READ MORE

Gwajima Aichambua Corona, Awalipua Chadema, “Magufuli Safi” – (Picha + Video)

ASKOFU na Mchungaji kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema kuwa amewachukia viongozi wa Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Askofu Ashangaza Wengi Kuruhusu Pombe Kanisani

HATUA ya Askofu Tsiets Makiti wa Afrika Kusini, kuruhusu unywaji wa pombe kanisani si tu imeshangaza, bali imeshtua watu wengi....

READ MORE

Gwajima Sasa Ni Tishio, Aleta Mtambo Wa Kufua Umeme

Ukiachana na lile dege aina ya Jet lenye thamani ya Sh. Bilioni 2.6 kuzua gumzo, Askofu wa Kanisa la Ufufuo...

READ MORE

PENZI LA GWAJIMA, FLORA JIPU PWAA!

  TAKRIBAN miaka miwili iliyopita kuliibuka sarakasi ya aina yake  katika ndoa ya waimba Injili wawili Bongo, Emmanuel Mbasha na...

READ MORE

Bakwata Lawakana Mashehe Walioenda Kanisani kwa Gwajima

Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) limetoa tamko kuhusu picha za mashehe zinazoendelea kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwaonesha wakiwa...

READ MORE

Mashehe, Wasanii Watinga Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar

WASANII wa Vichekesho nchini Mussa Kitale na Stan Bakora, wameungana na mashehe leo kwenye ibada katika kanisa la Ufufuo na...

READ MORE

Askofu Gwajima Alipoitembelea Efm Leo

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuno na Uzima, la Jijini Dar es Salaam, Mch. Josephat Gwajima amewatembelea na kuwaombea wafanyakazi wa...

READ MORE

Gwajima Uso kwa Uso na Idriss Leo Clouds Fm

DAR ES SALAAM: Licha ya mbwembwe alizoonesha Mtangazaji wa Redio Choice FM, Idris Sultan katika uwanja katika wa soko la...

READ MORE

Isabela Amfagilia Gwajima

UFAGIO! Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda amemfagilia Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima...

READ MORE

Gwajima Azidi Kukomaa na Vyeti vya Makonda

Na MWANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lenye makao yake makuu...

READ MORE

Flora Mbasha Atambulisha Wachumba Wawili Kanisani

DAR ES SALAAM: Mwanamuziki wa Injili Bongo, Flora Mbasha amezua gumzo la aina yake baada ya kudaiwa kuwatambulisha wachumba wawili...

READ MORE

Hofu Kukamatwa kwa Gwajima, Waumini Washangaa

Askofu Gwajima. KIONGOZI mmoja wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye hakutaja jina lake kwa madai ya kuwa siyo msemaji,...

READ MORE