×

Tag: Azam

Ngoma Bado Sana Azam

DONALD Ngoma hatokuwepo kwenye kikosi cha Azam ambacho leo Jumamosi kinakwenda nchini Uganda kuweka kambi ya wiki mbili kwa ajili...

READ MORE

Azam FC Yatimkia Uganda

KLABU ya Azam, imepanga kwenda nchini Uganda kuweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara....

READ MORE

Hans apewa masharti Azam Fc

  UONGOZI wa Azam FC, umempa masharti kocha wake mpya, Hans van Der Pluijm kuwatumia wachezaji vijana katika kikosi chake...

READ MORE

Azam: Pluijm Aliomba Kuifundisha Timu Yetu

UONGOZI wa Azam FC umeweka bayana kuwa, kocha wa timu ya Singida United, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, ndiye aliyeandika...

READ MORE

Nyota 10 Yanga SC Hawana Mikataba, Wengi Kutimkia Azam

WACHEZAJI zaidi ya 10 wa Yanga wamemaliza mikataba yao, na hofu imeibuka Jangwani kuwa huenda wengi wao wakatimkia Azam FC...

READ MORE

AZAM YAIANGAMIZA YANGA 3-1 (Video)

TIMU ya Azam kimelipiza kisasi kwa Yanga baada ya kuichapa mabao 3-1 leo katika mchezo kuhitimisha mechi za ligi kuu...

READ MORE

SALAMBA ATUA SIMBA, NI BAADA YA KUWAZIDI KETE YANGA, AZAM

MSHAMBULIAJI wa Lipuli FC ya Iringa, Adam Salamba, ana asilimia kubwa ya kuichezea Simba kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu...

READ MORE

AZAM FC YAINGILIA USAJILI WA YANGA SC

BAADA ya Yanga kuiandikia barua Lipuli FC ya kumhitaji straika wa timu hiyo, Adam Salamba, imeelezwa kuwa, Azam nayo imetuma...

READ MORE

Yanga Wapelekwa kwa Babu Singida, Kazi Ipo!

Droo ya upangaji wa timu zitakazokuwa zinacheza hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho imefanyika asubuhi ya leo katika...

READ MORE

Himid Mao Kupelekwa Sauz

BAADA ya kukosa michezo mitatu mfululizo kutokana na kupata majeraha, na­hodha na kiungo wa Azam FC, Himid Mao, huenda akapelekwa...

READ MORE

FT: KUTOKA UWANJA WA TAIFA; SIMBA 1-0 AZAM FC

MPIRA UMEKWISHAAAAAA DAKIKA 2 ZA NYONGEZA Dk 90 Agyei anaingia vizuri, mpira unachukuliwa vizuri kabisa na Mlipili ndani ya 18,...

READ MORE

Sure Boy, Himid Kuikabili Simba Leo

LEO Jumatano Simba na Azam wanatarajia kukutana kwenye mchezo wao wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kwenye...

READ MORE

Baada ya Kupigwa na Yanga, Azam Yapiga Mtu 5-0

Ikiwa ni siku chache baada ya kupoteza mechi yake ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, Azam FC imeibukia katika...

READ MORE

Droo ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Saports

Ile droo ya 32 Bora za mashindano ya Azam Sports Federation Cup imefanyika leo Ijumaa, Januari 5, 2017 ambapo makundi...

READ MORE

Madaktari Wagundua Tatizo la Mbaraka Yusuf

Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yusuf amegundulika kuwa hana tatizo kubwa sana kama ilivyoelezwa hapo awali. Madaktari wa Afrika Kusini,...

READ MORE

MPIGAPICHA WA AZAM TV AFARIKI DUNIA

Mpigapicha maarufu wa runinga ya Azam TV, Idd Salum Mambo amefariki dunia baada ya kuugua muda mfupi. Mambo amefariki dunia...

READ MORE

Takwimu za Oktoba Zaibeba Yanga Dhidi Ya Simba

HOMA ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaozikutanisha Simba na Yanga katika ligi hiyo kwa mara ya kwanza msimu huu,...

READ MORE

WINGA AZAM FC NJE KWA MIEZI MINNE

WINGA wa Azam FC, Joseph Kimwaga, anatarajia kukaa nje ya dimba kwa muda miezi minne baada ya kubainika ya kuwa...

READ MORE

Azam Yamaliza Ziara Uganda, Yaichapa Vipers 1-0

KIKOSI  cha Azam FC ya Dar es Salaam kimerejea jijini baada ya kukamilisha kambi yake ya siku kumi nchini Uganda...

READ MORE

USAJILI WA MANULA SIMBA BADO UTATA, SIKIA TAMKO LA BOSI WA AZAM

Wakati kikosi cha Simba kikiendelea kufanya maandalizi ya msimu ujao wa 2017/18 nchini Afrika Kusini, upande mwingine bado kuna utata...

READ MORE

Comedy Gala Ya Azam Yafunika Jijini Dar

KAMPUNI ya uzalishaji wa vipindi na televisheni ya Azam Media leo imemshusha wachekeshaji mashuhuri kutoka nchini Uganda, Teacher Mpamire, MC...

READ MORE

Unataka Kuwa Bakhresa Mpya Bongo? Hujachelewa

  NIMEKUWA nikitumia muda mwingi kutafiti maelezo kamilifu juu ya namna mabilionea mbalimbali walivyofanikiwa kufika kwenye kilele cha utajiri. Swali...

READ MORE

Yanga: Himid Kataka 60m, Tunampa

DAR ES SAALM: YANGA baada ya kumkosa Jonas Mkude wa Simba aliyeamua kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo,...

READ MORE

Simba Washindwe Wao Tu Kuwanasa Kapombe, Manula wa Azam

Mambo yanayoendelea ndani ya Klabu ya Azam yameendelea kuteka vichwa vya habari ambapo sasa yameibuka mapya. Wakati upepo ukiwa haujatulia...

READ MORE

Wazungu Kumpa Mtihani wa Kwanza Himid Kesho

Ibrahim Mussa | CHAMPIONI| Dar es Salaam Himid Mao, kesho Jumanne anatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa majaribio akiwa...

READ MORE

Simba: Lazima Tupande Ndege, Leo ni Azam na Simba, Taifa

SIMBA iliyokuwa kambini Morogoro tangu Jumatatu wiki hii, imesema vyovyote iwavyo ni lazima msimu ujao ipande ndege kwa kushiriki michuano...

READ MORE

Simba Yaishika Pabaya Azam, Nusu Fainali ya Kombe la FA

Omary Mdose | Championi Ijumaa | Habari KESHO Jumamosi, Simba inaingia uwanjani kupambana na Azam FC kwenye mchezo wa nusu...

READ MORE

Haji Manara Aipinga Adhabu ya TFF ya Kumfungia Mwaka

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amepingana na maamuzi ya hukumu iliyotolewa jana na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la...

READ MORE

Azam Walia Majeruhi Kuwafelisha

Omary Mdose | CHAMPIONI| Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa, kitendo cha timu ya Azam FC kukumbwa na wachezaji wengi majeruhi...

READ MORE

Mpira Umekwisha Uwanja wa Taifa: Yanga SC 1-0 Azam FC

MPIRA UMEKWISHAAAAAA…. KADI Dida analambwa kadi ya njano kwa kupoteza muda -SUB Juma Mahadhi anaingia kuchukua nafasi ya MsuvaDAKIKA 5...

READ MORE

Wasauz wampigia hesabu Himid wa Azam

Stori: Said Ally| CHAMPIONI |Dar es Salaam NEEMA imemshukia kiungo wa Azam, Himid Mao ‘Ninja’, baada ya Klabu ya Mamelodi...

READ MORE

SportHouse: Mjadala Mubashara Kuhusu Mechi ya Yanga Vs Zanaco

Ni leo Alhamisi, Machi 9, saa 10:00 jioni. -Wachambuzi mahiri wa mchezo wa soka wakiongozwa na Mhariri wa Gazeti la...

READ MORE

Azam FC Yatangaza Viingilio vya Mechi yao na Mbabane

  TIMU ya Azam, imetangaza viingilio vya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Mbabane Swallows ya Swaziland...

READ MORE

Azam yacheza na ‘timu mbili’ kwa dakika 90

Na Omary Mdose | CHAMPIONI DAR ES SALAAM: SHERIA ya kuwa na uwezo wa kuwachezesha wachezaji wako wote waliopo kikosini...

READ MORE

Azam uso kwa uso na mabingwa wa Afrika leo usiku

Azam FC Na Mwandishi Wetu TIMU ya Azam FC, leo saa 1:00 usiku, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa...

READ MORE

Pichaz: Meli ya Kisasa ya Azam Yatia Nanga Bandari ya Tanga kwa Mara ya Kwanza

TANGA: Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650,...

READ MORE

VPL Matokeo: Azam FC Yaichapa Simba SC Kwa Bao 1-0 (Video ya Goli Ipo Hapa)

MPIRA UMEKWISHA; Matokeo, Azam FC 1- 0 Simba SC. Dk 90+4; Simba wanashambulia kaunta atack, wanapata kona hapa. Tayari kona...

READ MORE

Simba Vs Azam Taifa, Lazima Mpigwe

Simba wakijiwinda. Na Mwaandishi Wetu, CHAMPIONI KATIKA usajili wa dirisha dogo uliopita, Azam FC ilitumia Sh milioni 509 kuwasajili wachezaji...

READ MORE