Azimika kwa bia za chee
Akiwa hoi baada ya kufakamia bia za bure.
Na Dustan Shekidele, Morogoro
KIJANA mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Jumamosi iliyopita alijikuta akizimika baada ya kufakamia bia za chee, alizokunywa kwenye sherehe ya harusi…
