Baraza la mawaziri; haijawahi kutokea
Nampongeza Rais Dk. John Magufuli kwa kuteua baraza dogo la mawaziri.Baada ya kutangazwa kwa baraza hilo wiki iliyopita, kama ilivyo ada wapo waliolikosoa kama vile mtaalamu wa uchumi ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi…
