Mc Pilipili,Ben Pol kufanya maajabu Boxing Day
MC Pilipili akiwa na Ben Pol.
MWANDISHI WETU
MCHEKESHAJI maarufu Bongo, MC Pilipili anatarajia kufanya shoo baab’kubwa ya kuchekesha siku ya Boxing Day, Desemba 26, mwaka huu mjini Dodoma itakayofahamika kwa jina la Night Stand Up Comedy.…
