Anerlisa: Ex Aligoma Kufunguliwa Biashara, Alitaka Pin Yangu ya ATM
ANERLISA Muigai; ni mrembo mwenye pesa zake wa nchini Kenya na ex wa staa wa muziki wa RnB nchini Tanzania, Ben Pol ambaye anasema kuwa, kuna ex-wake mmoja (hajasema kama ni Ben Pol) alitaka amfungulie biashara, jambo ambalo alilikataa…
