NMB Yawakutanisha Wafanyabiashara Mkoani Tabora
BENKI ya NMB inaendelea kutoa elimu kwa wafanyabiashara kwa lengo la kuhakikisha wanazielewa bidhaa na
mipango ya benki hiyo ili wanufaike na biashara zao.
Akizungumza katika warsha ya klabu ya wafanyabiashara wa Mkoa wa Tabora,…
