×

Tag: Bomu

Watu 13 Wauawa Kwenye Daladala Baada ya Kukanyaga Bomu

TAKRIBANI watu 13 wamefariki dunia kufuatia mlipuko uliotokea leo, Januari 31, 2022 asubuhi katika eneo la Mandera, Kaskazini mwa Kenya,...

READ MORE

Watatu Wafariki kwa Kulipukiwa na Kinachodhaniwa Kuwa Bomu

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya...

READ MORE

Aliyepata Mafunzo ya Al Shabaab Ajilipua Kenya

Mshukiwa wa Ugaidi nchini Kenya ambaye Polisi wanadai alipewa mafunzo na Al Shabaab, John Odhiambo Ondiek amefariki baada ya kujilipua...

READ MORE

Iran Yadai Kituo Chake cha Nyuklia Kimepigwa na ‘Shambulio la Hujuma’

Kiwanda cha nyuklia nchini Iran kilipigwa na “hujuma ” siku moja baada ya kufichua kifaa kipya cha urutubishaji wa madini...

READ MORE

Kigoma: Mtoto Darasa la Pili Alipukiwa na Bomu, Afariki!

MTOTO mwenye mwenye umri wa miaka 9 katika kijiji cha Kasumo Kata ya Kajana wilayani Buhigwe mkoani Kigoma amepoteza maisha...

READ MORE

Updates: Mlipuko Lebanon Vifo Vyaongezeka

BAADHI ya maafisa wa mji wa Beirut nchini Lebanon wamewekwa katika kifungo cha nyumbani huku wakisubiri uchunguzi kuhusu mlipuko mkubwa...

READ MORE

Cameroon: Bomu Laua 9 na Kujeruhi 30

MLIPUKO katika mji wa Fotokol mpakani mwa Cameroon na Nigeria umesababisha vifo vya watu tisa na kujeruhi wengine 30.  ...

READ MORE

Auawa kwa Bomu Kibaha, Wawili Wajeruhiwa

MKAZI wa Kibaha Msangani mkoani Pwani, Mbaraka Koromera, mwenye umri wa miaka 37 amefariki na wengine wawili kujeruhiwa kutokana na...

READ MORE

Watu 63 Wafariki Bomu Likilipuka Harusini

WATU wapatao 63 wameuawa na wengine 182 kujeruhiwa baada mtu asiyefahamika, aliyekuwa na bomu kujitoa mhanga, jana Jumapili Agosti 18,...

READ MORE

Polisi Waua Majambazi Wawili Dar, Wakamata Mabomu ya Kijeshi!

KAMANDA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, ametoa ripoti ya matukio ya kihalifu yanayoendelea hapa nchini ambapo...

READ MORE

Simanzi, Vilio Vyatawala Mazishi ya Watoto Waliolipukiwa na Bomu Monduli

NI SIMANZI na vilio vimetawala  katika Kijiji cha Nafco Kata ya Loksale, wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa maziko ya...

READ MORE

Miili ya Watoto 3 Waliolipukiwa na Bomu Yaagwa

MIILI ya watoto watatu waliofariki dunia kwa mlipuko wa bomu kwenye eneo la mazoezi ya kijeshi wilayani Monduli, mkoani Arusha...

READ MORE

Marekani Yatumia ”Mama wa Mabomu” Kuishambulia IS

Jeshi la Marekani kwa mara ya kwanza limewashambulia wapiganaji wa kundi la Islamic State kwa kutumia bomu kubwa lisilokuwa la...

READ MORE

‘Bomu’ Lazua Taharuki Kiwanda cha Nondo Dar

Lango kuu la kiwanda cha nondo palipokuwa na taharuki ya ‘bomu’. DAR ES SALAAM: KITU kinachodhaniwa kuwa bomu kimezua taharuki...

READ MORE

Bomu Laua 79 Baghdad

Zaidi ya watu 79 wamefariki dunia katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyokumba mji mkuu wa Iraq Baghdad. Watu wengine 130...

READ MORE