Nilianza Kupika Chakula cha Kienyeji, Hawakunielewa, Leo ni Shujaa!
WAKATI naanzisha wazo la kutoa huduma ya vyakula vya vya asili watu wengi walinidhihaki kwa kupika vyakula vya kienyeji na hawakunielewa. Hata hivyo, leo hii mimi ni shujaa wa aina yangu kwani wanakuja watu wa mataifa yote duniani…
