DAR ES SALAAM: WAKATI gumzo nchi nzima likiwa ni wizi mkubwa ambao haujawahi kufanyika wa zaidi ya shilingi bilioni...
READ MOREMbunge wa Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Ulega amewafananisha wabunge wa upinzani na popo kuwa hawaeleweki...
READ MOREDODOMA: Mbunge wa Viti Maalum Shinyanga Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Salome Makamba amehoji bungeni sababu...
READ MOREHussein Bashe, Mbunge wa Nzega kwa tiketi ya CCM, amewataka Watanzania kuacha kumkatisha tamaa mheshimiwa rais, John Pombe Magufuli katika...
READ MORESpika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke...
READ MOREWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, muda huu anasoma hotuba yake kuhusu mwelekeo wa bajeti ya serikali ya...
READ MORESerikali imetoa takwimu ikielezea hali ya ukuaji uchumi katika kipindi cha mwaka 2016 na kueleza kuwa kiwango hicho kimeendelea kukua...
READ MOREAskari walioagizwa kumtoa, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika bungeni Ijumaa iliyopita, wamepangiwa vituo vingine vya kazi kwa kuchelewa kutekeleza agizo...
READ MOREDODOMA: Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya wote wa CHADEMA wameadhibiwa kwa kusimamishwa na...
READ MOREDODOMA: Mbunge wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika leo alisababisha kuzaazaa Bungeni Dodoma baada ya kugoma kutoka nje ya Bunge...
READ MOREDODOMA: Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa ametoboa siri kuwa chanzo cha kuibiwa kwa madini kupitia kwenye michanga...
READ MOREDODOMA: Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Musukuma amesema hawezi kumsifia hata kidogo Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na...
READ MOREBUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii katika Mkutano wa...
READ MOREWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba amesema kuanzia sasa mtu yoyote atayeweza kupata majeraha yasiyokuwa na...
READ MOREMBUNGE wa Mtama, Lindi (CCM), Nape Nnauye ameitaka serikali kuweka misingi thabiti ya utekelezwaji wa ujenzi wa viwanda hapa nchini...
READ MOREBUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili na kupitisha...
READ MOREMAKALA NA ELVAN STAMBULI | UWAZI |NIONAVYO MIMI WIKI iliyopita nilisikia bungeni wabunge wakimkumbusha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu maazimio...
READ MOREDODOMA: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba bungeni leo amesema serikali bado haina sheria ya kuthibiti matumizi...
READ MOREDODOMA: Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola amesema kuwa majeshi ya usalama hapa nchini yamesahaulika na yanachukuliwa kama ni ya kawaida...
READ MOREWaziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Upendo Pendeza kwenye viwanja vya bunge...
READ MOREMBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amelaumu kuwa baadhi ya viongozi wa serikali wamesahau misingi ya Muasisi wa Taifa,...
READ MOREWabunge wa kuteuliwa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamecharuka Bungeni wakitaka wahusike kwenye mfuko wa Bunge ambao...
READ MORELEO Aprili 27, 2017 Mbunge wa Ulanga, Peter Lijualikali (CHADEMA) amemtwanga swali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni kuhusu...
READ MOREDODOMA: Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi jana alitoa somo kali (madini) kwa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano...
READ MOREDODOMA: Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Dkt Elly Marko Macha Mbunge wa Viti Maalum-CHADEMA...
READ MOREVideo hii ni hoja mbalimbali za waheshimiwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walivyokuwa bungeni leo. Tazama...
READ MORE[Sehemu ya 3 ya Hotuba ya ndugu Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto (MB) kuhusu Mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali...
READ MORE