×

Tag: burudani

WAKATI LYNN, KIM NANA WAKIPIGANA VIKUMBO, KAKA AMCHAGULIA MONDI MKE!

WAKATI warembo Irene Charles ‘Lynn’ na Lilian Paul Kessy ‘Kim Nana’ wakitajwa kumuwania staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

WEMA: MAPOVU YAMEWATOKA KAMA YOTE

STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu amewafungukia watu ambao wanamsema maneno ya kashfa kufuatia kumuanika mumewe mtarajiwa, Patrick Christopher...

READ MORE

MREMBO ADAIWA KUNYWA SUMU, KISA PENZI LA MBOSSO

UBUYU mtamu lazima uwe mnaum-ung’unya watu wawili huku stori mbili tatu zikiendelea. Hii ni kwa sababu ubuyu wa peke yako...

READ MORE

MAUA SAMA: IOKOTE IMENIACHIA ‘UCHIZI’

MSANII anayekimbiza kwenye gemu la Bongo Fleva, Maua Saleh ‘Maua Sama’ amesema kuwa licha ya wimbo wake mpya wa Iokote...

READ MORE

KAJALA: ZAMA ZA MASTAA KULA BATA ZIMEPITA

 STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja amewapa somo mastaa wenzake kuwa washtuke mapema katika kila jambo wanalolifanya na kwamba, zama...

READ MORE

SHAMSA AWANANGA WANAOSUBIRI AACHIKE

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford amesema kuwa, anashangaa kila akiposti chochote mtandaoni watu wanasema ameachika, jambo ambalo halina ukweli...

READ MORE

KAJALA, UWOYA, SANCHI… MGODI UMETEMA AU FIKSI?

MIAKA kadhaa nyuma, kuna staa mmoja (naomba nisimtaje jina lake) aliwahi kushambuliwa sana kutokana na tabia yake ya kupenda kuishi...

READ MORE

KIM NANA, ACHA KUFEKI MAISHA NA KUTAFUTA KIKI MITANDAONI

GUMZO kubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni ishu ya video vixen anayechipukia Bongo, Lilian Kessy au maarufu kama...

READ MORE

PETER WA P SQUARE AANIKA UTAJIRI WAKE

SIKU chache baada ya kuanika jumba la kifahari la ghorofa moja analoishi, staa anayeunda Kundi la P Square, Peter Okoye...

READ MORE

MTANGAZAJI BONGO YA MKUTA KOREA

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Nitetee kinachorushwa kupitia Televisheni ya Channel Ten, Flora Lauo yamemkuta makubwa akiwa nchini Korea ya Kaskazini...

READ MORE

MILIONI 15 ALIZOCHOMA UWOYA GUMZO

STAA wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya anasemekana kuteketeza zaidi ya shilingi milioni 15 za Kitanzania kwa ajili ya...

READ MORE

WCB WAMEITEKA BONGO FLEVA 90%

WAHENGA wenzangu Bongo Flevani wanakumbuka Sterehe ya Ferooz, Nikusaidiaje ya Profesa Jay, Alikufa kwa Ngoma ya MwanaFA, Salome ya Dully...

READ MORE

AIKA AFUNGUKA UNDANI WAO NA SALLAM

BAADA ya kusemwa kila kona kuwa wamehamia Wasafi Classic Baby (WCB), msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Aika Marealle ‘Aika’...

READ MORE

MAMA AFUNGUKA UKARIBU WA WEMA , DIAMOND !

DAR ES SALAAM: Mama wa msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu, Miriam, amefungukia ukaribu walionao bintiye na msanii Nasibu Abdul...

READ MORE

ETO’O : KUMCHUKUA MTOTO WA DOKII!

MCHEZAJI wa Cameroon, Samuel Eto’o amekubali kumchukua mtoto wa muigizaji Ummy Wenceslaus ‘Dokii’, Wenceslaus Halfan kwenda kumtafutia soko la mpira...

READ MORE

CHUCHU: JIANDAENI KWA SHEREHE YANGU NA RAY !

  MUIGIZAJI wa kitambo kwenye sanaa ya uigizaji Chuchu Hansi, amefunguka kuwa yeye na mzazi mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ bado...

READ MORE

HUSNA AANIKA MAHABA YAKE KWA DIAMOND

MSHIRIKI wa Shindano la Miss Tanzania 2011/12, Husna Maulid hivi karibuni alizua mshangao baada ya kuanika kwamba naye ni miongoni...

READ MORE

STEPS YAFUNGA OFISI YA FILAMU

HILI ni pigo kwa waigizaji! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kampuni maarufu ambayo mastaa wa filamu walikuwa wakifanya nayo kazi,...

READ MORE

TOKO: NIMEANZA MUZIKI NA DIAMOND, KIBA

UKIZUNGUMZIA miongoni mwa wasanii waliotamba kwenye filamu kisha kuingia kwenye Muziki wa Bongo Fleva ni wazi utawataja Snura Mushi, Zuwena...

READ MORE

KIWANJA CHA MIL. 97 CHA SANCHI CHAZUA GUMZO

MUDA mfupi mara baada ya kuanika kiwanja anachodai kukinunua kwa shilingi milioni 97 maeneo ya Bunju jijini Dar, mwanamitindo Jane...

READ MORE

ODAMA: MSIMAMO WANGU UNANIPONZA

STAA wa filamu kutoka Bongo Muvi, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa siku zote amekuwa mwenye msimamo na kusimamia jambo lake,...

READ MORE

ZARI AMWEKEA DIAMOND MWANASHERIA

MFANYABIASHARA Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amedaiwa kumwekea mzazi mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwanasheria kwa ajili ya kumsimamia...

READ MORE

MREMBO AALIVYONASWA AKIMROGA DIAMOND

DAR ES SALAAM: Mwanamuziki Mbaraka Mwishehe (marehemu) amewahi kuimba: “Kwanza jiulize kwa nini hupendeki siku hizi mamaaa, bembeleza bwanako muishi...

READ MORE

ANAEDAI MTOTO WA ZARI ABANWA

DAR ES SALAAM: Msichana ambaye kwenye Mtandao wa Instagram anatumia jina la Martha.aint-na kudai ni mtoto wa Zarinah Hassan ‘Zari’...

READ MORE

ABDI BANDA: DADA YANGU ALINIKUTANISHA NA MKE WANGU

LEO tutakuwa na mwanasoka kutoka Tanzania anayechezea Timu ya Baroka ya Afrika Kusini; Abdi Banda, akisimulia namna ambavyo amekutana na...

READ MORE

JIDE KUMSHUSHA JULIANA WA UGANDA DAR

KWA mara ya kwanza katika Muziki wa Bongo Fleva, mkongwe wa muziki huo, Judith Wambura Mbibo, ‘Lady Jaydee’ anatarajiwa kumshusha...

READ MORE

WHAAAT? MAISHA YA MREMBO WA DIAMOND YASHTUA

WHAAAT? Ndivyo unavyoweza kujiuliza ukiyajua kiuhalisia maisha ya baadhi ya mastaa wa Kibongo ukilinganisha na show-off zao. Baadhi ya wasanii...

READ MORE

NAY: MAMA HATAKI NIIMBE, NIMEKUBALIANA NAYE!

KWA sasa ukipita kwenye vibanda vya kuchajisha simu, vijiwe vya bodaboda, Bajaj, saluni, daladala au kwenye nyumba binafsi, kwa asilimia...

READ MORE

HUKU NI ‘KUDAMSHI’ AU KUJICHORESHA?

SINA shaka kabisa na hili suala la fasheni za nguo ambazo kila kukicha zimekuwa zikiibuka huko mtaani. Wanawake wanashindana kwa...

READ MORE

A-Z KIFO CHA PRODYUZA PANCHO

DAR ES SALAAM: Aidan Magawa ambaye ni kaka wa mtayarishaji Yoshua Mwisho ‘Pancho Latino’ aliyefariki juzi wakati akiogelea, amesema mdogo...

READ MORE

ZARI AMUIGA WEMA

WAKATI Wema Sepetu akishikilia jina la Tanzania Sweetheart, mrembo wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ naye ameamua kumuiga...

READ MORE

PETIT AFUNGUKIA MADAI YA KUTEMBEA NA MTOTO WA GARDNER

MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hemed Manungwa ‘Petit Man’ amefungukia madai ya kutoka kimapenzi na mtoto wa mtangazaji wa Redio...

READ MORE

WOLPER: WANAUME WAMETUFANYA MADARAJA

MREMBO kutoka Bongo Movies, Jacque­line Wolper amefunguka kuwa wasa­nii wengi wa kike mawazo ya kuolewa yameshafutika mioyoni mwao kwa sababu...

READ MORE

SANCHI: SIJAONA MWANAUME BONGO

MWANAMITINDO Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameibuka na kusema kuwa, hajaona mwanaume wa kuwa naye kimapenzi Bongo japo karibia mastaa wote wenye...

READ MORE

UZUNGU WA DIAMOND, DADA’KE GUMZO KAMA LOTE

IKIWA hitimisho la bethidei yake aliyoifanya kwa wiki nzima lilikuwa Jumapili iliyopita ambapo alisherehekea ndani ya boti, uzungu wa staa...

READ MORE

 AFYA YA CHOKI YAZIDI KUIMARIKA

BAADA ya siku chache zilizopita kuwa hoi akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari, mapafu na presha, mkongwe wa muziki wa dansi...

READ MORE

MAJIBU YA UKIMWI YAMPAGAWISHA MBASHA

KUPIMA Ukimwi siyo jambo la mchezomchezo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Emmanuel Mbasha kupagawa...

READ MORE

DULLAH MAKABILA ANASWA NA KIFAA KIPYA

MSANII wa muziki wa Singeli, Abdallah Ahmed ‘Dullah Makabila’ hivi karibuni alinaswa na kifaa chake kipya anayejulikana kwa jina la...

READ MORE

SNURA AFUNGUKIA KUPEWA MIMBA NA BEN’TEN

UNAPOTAJA wasanii warembo wanaofanya vizuri Bongo Flevani, huwezi kuacha kulitaja jina la Snura Mushi ‘Snuu Sex’. Amelisumbua anga la Bongo...

READ MORE