Watu 16 Wafariki kwa Ajali ya Ndege ya Jeshi
Watu 16 wamefariki kwenye ajali ya ndege ya jeshi la Marekani aina ya C-130 Hercules kwenye Jimbo la Mississipi nchini Marekani, ambayo imetokea katika eneo la LeFlore karibu kilomita 160 Kusini mwa mji mkuu wa jimbo hilo,…
