Canaan Banana: Rais wa Zimbabwe Aliyefungwa kwa Kulawiti
HAKUWA rais tu wa Zimbabwe, bali alikuwa Mchungaji wa Kanisa la Methodist! Ni Canaan Sodindo Banana ambaye alifariki Novemba 10, 2003 kwa ugonjwa wa kansa huko London.
Rais Banana -- rais wa kwanza wa Zimbabwe wakati Robert Mugabe akiwa…
