Dada wa Kazi Adaiwa Kumuua Mtoto kwa Kumnyonga Kimara, Dar… Anaswa na CCTV Kamera
DADA wa kazi anadaiwa kumuua Mtoto Erickson Kimaro (8) kwa kumnyonga. Tukio hilo limetokea Mei 30, 2022 eneo la Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku mbili tangu aanze kazi na Waajiri walikuwa hawajamfahamu vizuri.…
