×

Tag: Celebrities

UWOYA, J-LO NGOMA DROO KUDATE NA ‘WADOGO ZAO

MSANII wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya anakuwa ngoma droo na mwanamuziki Jennifer Lopez ‘J-Lo’ kwenye suala zima la malavidavi...

READ MORE

UTATA WAIBUKA MJENGO WA LYNN

UTATA! Ndiyo maneno unayoweza kusema baada ya muuza nyago maarufu Bongo ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Irene Godfrey...

READ MORE

MUTRAH ‘AWALILIA’ WANAOTOA MIMBA

MUIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Mutrah Tamim ‘amewalilia’ wasichana wanaotoa mimba kila kukicha na kuwataka waache kwani watoto hao watakuja...

READ MORE

ESMA HATAKI KUSIKIA KUHUSU NDOA TENA

DADA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan amefunguka hataki kusikia tena kitu kinachoitwa ndoa kwa...

READ MORE

KAJALA AKESHA AKIMSALIA PAULA

MSANII kutoka Bongo Movie, Kajala Masanja amefunguka ya moyoni kuwa anapitia wakati mgumu katika malezi ya mtoto wake, Paula kutokana...

READ MORE

GIGY MONEY ADAIWA KUNASA UJAUZITO

WAKATI mtoto wake, Mayra akiwa bado hajatimiza hata mwaka, msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza nyago ‘video vixen’...

READ MORE

MWALA ADATISHWA NA MADEMU WA KIBONGO

MSANII wa filamu za maigizo kutoka nchini Kenya maarufu kwa jina la Mwala ambaye Jumamosi iliyopita alikuwa ndani ya Ukumbi...

READ MORE

UWOYA NOMA AWAKALISHA WEMA, AUNT

HII ni noma! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya kufanya kufuru ya aina yake...

READ MORE

IRENE PAUL: Situmii Gharama Kujichubua!

MWIGIZAJI mkali anapokuwa mbele ya kamera, Irene Paul ameamua kuwahamasisha mastaa na watu mbalimbali kuepuka gharama ya kujitengeneza badala yake...

READ MORE

Karl Lagerfeld Afariki, Paka Atajwa Kurithi Utajiri Wake Bil 456

DIZAINA maarufu wa mavazi wa kampuni za Chanel na Fendi,  Karl Lagerfeld, amefariki jijini Paris, Ufaransa, baada ya kuugua kwa...

READ MORE

MONA, MWANAYE WAANGUA KILIO HADHARANI

  MUIGIZAJI wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherry ‘Mo­nalisa’ na mtoto wake Sonia George juzikati waliangua kilio...

READ MORE

FAHYMA AFUNGUKA KUITWA YUDA

MZAZI mwenzake na mkali wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ‘Mama Jayden’ amefungukia ishu ya kuitwa Yuda kwa sababu...

READ MORE

SANCHI HANA KOVU KIWEMBE

KWELI? Mrembo ambaye jina lake limesimama kutokana na umbo lake matata, Jane Rimoy ‘Sanchi’ hivi karibuni alionekana akijiachia huku akiwa...

READ MORE

FAHYMA AFUNGUKIA KUKAA UTUPU

MZAZI mwenza wa mkali wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ‘Mama Jaydan’...

READ MORE

KWA NINI TANASHA HAKUBALIKI KWA MONDI?

JARIBIO halipo mbali. Halichukui muda mrefu sana kutoa majibu. Cha kufanya, chukua picha kali ya mrembo Tanasha Donna. Hakikisha ina...

READ MORE

KAJALA ANAVYOKOSEA KUMGEUZA PAULA SHOSTI YAKE !

KUFAULU mtihani wa kidato cha nne kwa mtoto wa muigizaji maarufu Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Sonia George aliyepata Division One,...

READ MORE

KIM NANA HAUZI SURA BILA MILIONI MOJA

MUUZA nyago matata kwenye video za wanamuziki wa Bongo Fleva, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ amefu-nguka kuwa kwa sasa hawezi kutumika...

READ MORE

MOBETO AKOLEZA SKENDO YA KUFUMANIWA ZANZIBAR

SIKU chache baada ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto kukutwa na skendo ya kufumaniwa na bwana wa mtu ambaye jina...

READ MORE

AUNT AFUNGUKIA ‘TATUU’ YAKE YA PAJA

STAA mwenye mvuto Bongo Muvi, Aunt Ezekiel amefungukia ‘tatuu’ aliyoichora pajani kuwa anashangaa watu wanavyoijadili alichoraje kwani kwake ni kitu...

READ MORE

POSHY AWAJIBU WANAOANDAMA SHEPU YAKE

BAADA ya madai kusambaa kuwa mrembo anayetingisha jiji kutokana na umbo lake namba nane, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ ametengeneza umbo...

READ MORE

JOHARI AWA MBOGO RAY KUACHANA NA CHUCHU

STAA wa sinema za K ibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amegeuka mbogo baada ya kuulizwa ishu ya mpenzi wake wa zamani, Vincent...

READ MORE

ODEMBA AKUMBUKA NYUMBANI

MISS my home! Mwanamitindo maarufu ndani na nje ya Bongo, Miriam Odemba ametoa la moyoni kuwa akili yake kwa sasa...

READ MORE

RITA UMEMHUZUNISHA CASSIAN; UMEJIVUNJIA HESHIMA

MIAKA takriban mitatu nilipozun-gumza na mwanadada Rita Paulsen nilimwambia thamani yake mbele ya jamii. Nikamtia moyo kwa kumwambia azidi kusonga...

READ MORE

TID, MZAZI MWENZIYE PACHIMBIKA!

DAR ES SALAAM: Mambo siyo poa kwa wazazi wa binti aitwaye Tania, Khaleed Mohamed ‘TID’aliye mkongwe wa muziki wa Bongo...

READ MORE

IDRISS ADAIWA KUJISOGEZA KWA MOBETO

MADAI yanayosambaa kama moto wa kifuu ni juu ya mchekeshaji maarufu  Bongo, Idris Sultan  kudaiwa kujiweka kwa mwanamitindo, Hamisa Mobeto.     Shushushu...

READ MORE

SANCHI AFUNGUKIA KUKODI NDEGE

BAADA ya kusemekana kukodi ndege binafsi akitokea Dar kuelekea mkoani Iringa, mwanamitindo maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa hajawahi...

READ MORE

BEN POL: KAOKOTA DODO , KASAHAU ALIKOTOKA !

WASWAHILI wana msemo wao pale mtu anapobahatika na kitu fulani, utasikia; ‘ameokota dodo chini ya muarobaini’ ikiwa na maana kuwa...

READ MORE

NDOA YA NELLY KAMWELU YANUKIA

NDOA ya Miss Universe Tanzania na Miss Southern Africa Interna­tional 2011, Nelly Kamwelu inanukia baada ya taratibu za awali kuanza...

READ MORE

UBONGE WAMTESA AIKA

STAA wa kike wa Bongo Fleva kutoka Crew ya Navy Kenzo, Aika Mareale amefunguka kuteswa na ubonge ambao kila kukicha...

READ MORE

RUBY: MIMBA HAINIZUII KUFANYA KAZI

MWANADADA anayetamba na Ngoma ya Alele, Hellen George ‘Ruby’ amesema kwamba mimba aliyonayo haimzuii kufanya kazi kama alivyokuwa akifikiri awali.  Ruby...

READ MORE

KWA WALICHOKIFANYA CHINA… NDOA YA LULU UTATA TUPU!

DAR ES SALAAM: Wakati wakiwa nchini China msimu wa Sikukuu za Krismasi na mwaka mpya kwa ajili ya kula bata...

READ MORE

UWOYA USISAHAU KUTESA KWA ZAMU

IRENE Pancras Uwoya ni mmoja wa wanawake warembo walioipa platfom’ tasnia ya fi lamu za Kibongo.   Mbali na kuigiza, Uwoya...

READ MORE

NI MWAKA WA FURAHA KWA WASTARA

KILA mara watu wamezoea kumuona staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, akidondosha machozi kutokana na changamoto mbalimbali anazopitia, lakini...

READ MORE

KUDANGA SIYO ISHU KWA FAIZA !

MWIGIZAJI wa filamu Bongo na mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ameeleza kuwa kudanga kwake...

READ MORE

POSH: SITUMII MWILI KUJIPATIA FEDHA

MREMBO Queen Obed ‘Posh Queen’ amefunguka kuwa haamini kuutumia mwili wake kama biashara ili aweze kujipatia fedha kama ambavyo wanavyofanya...

READ MORE

DIAMOND HATARINI KUFUNGIWA MAISHA!

DAR ES SALAAM: Baada ya kufungiwa kufanya shoo ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana, mkali wa Bongo Fleva,...

READ MORE

DAKTARI: WEMA ANAHITAJI MASAJI

DAKTARI ambaye ni mtaalam wa kuwa­fanyia watu masaji za mwili na viungo, Hap­piness Mtuya amesema kuwa staa wa filamu za...

READ MORE

FIGA ZA MASTAA MITANDAONI NI FEKI AU HALISI ?

UKIONA mrembo kwenye mitandao ya kijamii ameumbika sana utadhani kachorwa unapaswa kuwa makini, kuna baadhi wanajitengenezea maumbo feki. Kuna program...

READ MORE

SHILOLE; KUTOKA MUUZA GENGE HADI BOSS LADY

BOSS LADY ni jina ambalo si vibaya ukimuita mrembo Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambaye historia ya maisha yake ina fundisho kubwa...

READ MORE

KAPO ZA MASTAA BONGO ZILIZOBAMBA 2018

WAKATI mwaka wa 2018 ukikaribia kufika ukingoni, kwenye ulimwengu wa mastaa yapo mambo mbalimbali yaliyotokea tangu ulipoanza yakiwemo mazuri na...

READ MORE