×

Tag: Celebrities

Ebitoke: Mlela ‘kafa kaoza’ kwangu

CHEZEA mapenzi wewe! Mtu akipenda haoni wala haambiwi, umemsikia msanii wa vichekesho, Anna Exvery ‘Ebitoke’? Aanasema kuwa anawashangaa watu wanavyoponda...

READ MORE

 Wolper ahofia kupigwa juju

BAADA ya kuonekana akiongea bila breki, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amesema siku hizi anaona mdomo wake hauna staa...

READ MORE

Wakati akisubiri kujifungua..Zari ampa vitisho Tanasha

WAKATI Tanasha Donna akisubiri kujifungua mtoto wa kiume muda wowote kuanzia sasa, aliyekuwa mpenzi wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Nilivyotamani Kumcharaza Bakora Verasidika

MIAKA ya nyuma kidogo nilipata kumfahamu mwanadada kutoka Kenya mwenye kalio kubwa sana na akawa analitumia kujitafutia umaarufu. Mdada huyu...

READ MORE

Uwoya, Lava Lava siyo siri tena!

PENZI jipya mjini! Staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya na Mbongo- Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB),...

READ MORE

Tunda akiwa penzini ni kujifungia

PENZI ni tamu kama asali! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya video queen, Tunda Sebastian kueleza kuwa akiwa katika mapenzi mazito...

READ MORE

Lynn Alipuka Kuitwa Mdangaji!

VIDEO vixien na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lynn’ amelipuka vilivyo kutokana na watu kumsema kuwa anadanga. Lynn ameliambia...

READ MORE

YAMETIMIA, HARMONIZE MPYA NJE YA WASAFI USIPIME

DAR ES SALAAM: MAMBO ni moto! Hakuna siri tena juu ya tetesi zilizogeuka habari hot Bongo, juu ya staa wa...

READ MORE

Matukio 5 yaliyotikisa ‘baby shower’ ya Tanasha

PALIKUWA hapatoshi! Matukio matano yametikisa usiku wa kuamkia jana Ijumaa ndani ya Hoteli ya Best Western Coral Beach iliyopo Masaki...

READ MORE

Pretty Kind: Nguo ninazovaa ni gharama

MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii ya Mystyle, natumai unaendelea poa na shughuli za kulijenga taifa. Kama unaumwa, basi...

READ MORE

Sasha aeleza anavyosakwa alipiziwe kisasi

VIDEO queen na msanii wa filamu za Kibongo, Sasha Kassim ameibuka na kueleza jinsi anavyopitia kwenye wakati mgumu kukwepa vishawishi...

READ MORE

Ben Pol: Sishindani kula bata

  KAMA ulikuwa ukijiuliza sana juu ya bata la mkali wa miondoko ya R&B Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ anashindana...

READ MORE

Lynn Aanika Ukweli Kutumia Vidonge

Baada ya watu kusema sana anameza vidonge ili awe mweupe! Hatimaye video vixen, Irene Louis ‘Lyyn’ ameanika ukweli wa madai...

READ MORE

Hii ndiyo Idadi ya wanaume wa Tanasha

DAR ES SALAAM: Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anafahamika kwa kucheza na mioyo ya watoto wa kike...

READ MORE

Mona amtahadharisha Mbasha kwa Sonia

ULE usemi usemao abiria chunga mzigo wako, umejidhihirisha wazi kwa msanii mkongwe Yvonne Cherry ‘Monalisa’ baada ya kumtaha-dharisha muimbaji wa...

READ MORE

NORA AOMBA MSAADA WA MAOMBI

MGANGA hajigangi! Licha ya kwamba kwa sasa ameishika dini vilivyo, msanii wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nuru’ amewaomba watu wamuombee...

READ MORE

HARMONIZE AWEKA REKODI AFRIKA

DAR ES SALAAM: Mambo yamemyookea! Ndiyo lugha rahisi unayoweza kutumia kuwasilisha mafanikio ya haraka anayoendelea kuyapata, staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Tanasha ampiga bao la tatu Mobeto

DAR ES SALAAM: Amepigwa bao! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mrembo, Tanasha Donna ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki wa Bongo...

READ MORE

Kwa Ishu ya King Bae Unajitekenya na Kucheka Mwenyewe!

ZARINAH Hassan ‘The Boss Lady’ ni miongoni mwa wanamama maarufu Afrika Mashariki ambaye kwa namna moja au nyingine, umaarufu wake...

READ MORE

WEMA SEPETU BADO ANARINGIA KALIO YAKE

MREMBO wa miaka yote, Wema Sepetu amesema hata kama amepungua mwili kiasi gani lakini anajivunia kwamba bado kalio lake lipo...

READ MORE

Lulu Diva ana nguo hadi anasahau

MWANAMUZIKI Lulu Abbas ‘Lulu Dava’ ameibuka na kusema kuwa linapokuja suala la kuvaa kwake hana mchezo kwani ana chumba kizima...

READ MORE

Zari Atinga Uganda Kumtambulisha King Bae

KWA mara nyingine, mwanamama mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ameibua gumzo baada ya kutinga nchini kwao, Uganda kwa...

READ MORE

Sanchi: Kwa siku natongozwa zaidi ya mara 100

BAADA kukaa kimya kwa muda mrefu ingawaje anakutana na vishawishi vingi, mwanamitindo mwenye umbo tatanishi, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameamua kufunguka...

READ MORE

Baby J: Siumii kukwapuliwa bwana, mwanangu ananipa furaha

WANAOSEMAGA kidonda cha mapenzi hakiponi wako wapi? Baada ya kudaiwa kukwapuliwa bwana na dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond,...

READ MORE

Wema Sasa Kupata Mtoto

KAMA ni kiu ya kupata mtoto kwa sasa mwigizaji nyota wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu amefika kisimani; kinachosubiriwa ni...

READ MORE

Harmo Afunguka Kugombea Ubunge 2020

ACHANA na gumzo lake la kudaiwa kujitoa kwenye lebo iliyomlea kimuziki ya Wasafi Classic Baby (WCB) chini ya Nasibu Abdul...

READ MORE

KAJALA hajawahi kumtamani mwingine

WAKATI wengine wakitamani kuwa kama Beyonce au Rihanna, kwa mwanamama seksi kunako Bongo Muvi, Kajala Masanja ‘Kay’ hataki kuwa kama...

READ MORE

Harusi ya Sugu inavyomtesa Faiza!

SHUGHULI ya harusi yake aliyoitangaza Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ inamtesa kinoma mzazi mwenzake, Faiza Ally, kiasi cha kusitishe...

READ MORE

Zengwe Bata la Dimpoz Marekani

DAR ES SALAAM: Zengwe limeibuka! Wakati ikiwa hana muda mrefu sana tangu arejee kwenye gemu la muziki baada ya kuumwa...

READ MORE

Tiko: Starehe yangu ni kula na kulala

NI Jumamosi nyingine tunakutana tena mpenzi msomaji wa safu hii nzuri ya My Style inayokuletea mastaa mbalimbali wakielezea maisha yao...

READ MORE

BABA KANUMBA TUMUOMBEE, AFANYIWA OPARESHENI!

TUMUOMBEE! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na baba wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba anayeishi mkoani...

READ MORE

Aunty Lulu Akiri Mapenzi Kumrudisha Nyuma

BAADA ya kimya cha muda mrefu, msanii wa filamu za Kibongo ambaye pia amewahi kuwa mtangazaji wa runinga, Lulu Semagongo...

READ MORE

MCHUNGAJI AANDAA MAOMBI NDOA YA LULU

DAR ES SALAAM: Mchungaji wa Mitume na Manabii, Daudi Mashimo, baada ya kumaliza maombi aliyokuwa akimuombea mwigizaji wa filamu za...

READ MORE

Harmo azidi kutibua Wasafi

DAR ES SALAAM: Zile tetesi za staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ kuwa anataka kusepa kwenye Lebo ya Wasafi...

READ MORE

MPANGO WASAFI KUVUNJWA WAFICHUKA

KUNA mpango mchafu dhidi ya kundi au lebo inayofanya vizuri kwenye Muziki wa Bongo Fleva ya Wasafi Classic Baby (WCB),...

READ MORE

Khadija Kopa, Hata Nikizeeka Ladha Yangu Iko Pale Pale

U kiwa unafikiria uzee utakujaje au utaharibu muonekano wako, Malkia wa Mipasho Bongo, Khadija Kopa, hana hofu na hilo kwani...

READ MORE

Kitumbo cha Tanasha Gumzo

GUMZO kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ni muonekano mpya wa mpenzi wa mwanamuziki maarufu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha...

READ MORE

Madaha: Plizi Msinifananishe na Amber Rutty

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva ambaye pia ni msanii wa filamu, Baby Madaha ameibuka na kueleza kwamba muziki wake siyo wa...

READ MORE

Mama, Mimi Ndio Injini ya Mobeto

MAMA mzazi wa mwanamuziki Hamisa Mobeto, Shufaa Lutiginga amefunguka kuwa yeye ndiyo injini ya kila anachokifanya mwanaye.   Mama Hamisa...

READ MORE

Mr Blue: Nitamtegemea Chid Benz Hata Iweje

MKALI wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Khery Sameer almaarufu kama Mr.Blue amefunguka kuwa atamtegemea rapa mwenzake Chidi Benz kwenye...

READ MORE