×

Tag: China

Wabunge Wote wa Upinzani Wajiuzulu Hong Kong

BAADA ya Wabunge wenzao 4 kufukuzwa  kazi, Wapinzani wote 15 ambao ni watetezi wa demokrasia  wamejiuzulu ikiwa ni ishara ya...

READ MORE

Tajiri Mkosoaji wa Rais Jela Miaka 18

KORTI moja nchini China imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 18 jela kwa tajiri mmiliki wa majengo, Ren Zhiqiang, ambaye...

READ MORE

China Yaitaka Marekani Kuheshimu Ushindani Kibiashara

CHINA  imeitaka Marekani kuheshimu misingi na kanuni za soko la kiuchumi na ushindani wenye usawa.   Hayo yameelezwa na wizara...

READ MORE

Vifurushi 21 Msaada wa Jack Ma Havikufika Kenya

Naibu wa Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, Chris Obure amefichua kuwa vifurushi 21 vilivyokuwa na vifaa vya matibabu vilivyotolewa na...

READ MORE

China Yasimamisha Ushirikiano wa Hong Kong na Canada, Australia & Uingereza

CHINA imetangaza kuwa inasimamisha mkataba wa kubadilisha wahalifu kati ya kisiwa chake cha Hong Kong na mataifa ya Canada, Australia...

READ MORE

China Yaripoti Maambukizi Mapya 46 ya Covid-19

SERIKALI ya China imeripoti kesi mpya za maambukizi ya virusi vya corona katika China bara Julai 25, ikiwa ni ongezeko...

READ MORE

‘Uchokozi wa Kisiasa’ Marekani Yafunga Ubalozi wa China

SERIKALI ya Marekani imeitaka China kufunga ubalozi wake mdogo katika jiji la Texas katika Jimbo la Houston, kufikia Ijumaa —...

READ MORE

FBI Yadai China ni Tishio kwa Marekani

MKURUGENZI wa shirika la FBI nchini Marekani amesema kwamba vitendo vya upelelezi na wizi unaotekelezwa na serikali ya China ni...

READ MORE

China Yatishia Kulipiza Kisasi kwa Marekani

CHINA imetangaza kulipiza kisasi kama Marekani itajiingiza katika masuala ya nchi yake hasa eneo lake la Hong Kong baada ya...

READ MORE

China: Tuhuma na Matamshi ya Marekani Yatasababisha Vita Baridi

China imesema uhusiano baina yake na Marekani unakaribia kiwango cha enzi mpya ya vita baridi, inayochochewa na mvutano kuhusu janga...

READ MORE

Wachina Waliokwenda Kutibu Corona Nigeria ni ‘Mafundi Ujenzi’

Katika hali ya kushangaza mamlaka nchini Nigeria zimesema kuwa hazifahamu ilipo timu ya madaktari 15 wa binadamu raia wa China...

READ MORE

Marekani Yaishutumu China Kudukua Tafiti za Chanjo ya #Covid19

WATAALAM wa Usalama Mtandaoni nchini Marekani wameishutumu China kuwa inajaribu kudukua taarifa kuhusu tafiti zinazofanya za #COVID-19. Shirika la upelelezi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Corona: WHO Yakanusha Madai ya Trump Kuhusu China

MAOFISA wa Shirika la Afya Ulimwenguni – WHO wamekanusha leo kuwa shirika hilo linaipendelea China na kusema kuwa hatua hii...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza! Hakuna kifo cha Corona China

SERIKALI ya China imetangaza kwa mara ya kwanza kutokuwa na vifo vipya tangu virusi vya corona vilipoibuka mwishoni mwa mwaka...

READ MORE

China Yatangaza Ushindi Dhidi ya Coronavirus

SERIKALI ya China imesema kuna wagonjwa wapya 31 wa ugonjwa wa COVID-19 na vifo vinne hivi leo, kwa mujibu wa...

READ MORE

Marekani Yaongoza Maambukizi ya Corona, Yaipiku China

MAREKANI imeripoti jumla ya maambukizi 85,604 na kuwa nchi yenye maambukizi mengi zaidi ikiizidi China yenye maambukizi 81,340 na Italia...

READ MORE

Majaliwa: Watanzania Wanaosoma China Wanaendelea Kupiga Kitabu

WAZIRI MKUU Kassim Mjaliwa amesema wanafunzi wanaosoma katika vyuo vikuu mbalimbali nchini China waliozuiwa kutokana na mlipuko wa homa ya...

READ MORE

Ghorofa Laporomoka, Watu 10 Wafariki Dunia

Idadi ya watu waliofariki baada ya kuporomoka kwa hoteli moja iliyokuwa ikitumiwa kuwaweka watu chini ya karantini kutokana na virusi...

READ MORE

Wachina Wanaswa Wakitaka Kumpa Kamishna Mkuu TRA Mil. 11

JUZI Jumatatu, Feb. 24, 2020, mida ya saa 6 mchana, Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede, akiwa ofisini kwake ...

READ MORE

Waliofariki Kwa Virusi Vya Corona Wafika 2,004

TUME ya Afya ya China imeripoti kuwa idadi ya vifo kutokana na virus vya Corona imefikia 2,004, huku idadi ya...

READ MORE

Balozi Kairuki: Serikali Haitawarudisha TZ Wananfunzi Walioko China

BALOZI wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amesema wanafunzi wanaosoma katika mji wa Wuhan hawawezi kurudi kwa sababu kuna katazo...

READ MORE

Corona: Kenya Airways Yasitisha Safari Zake China

SHIRIKA la ndege la Kenya limesitisha safari zote za kwenda China baada ya mlipuko wa virusi vya corona. Visa sita...

READ MORE

Corona: China Kujenga Hospitali Siku 6 Kuokoa Waathirika

MJI wa Wuhan nchini China unaharakisha kujenga hospitali mpya kusaidia kutibu wagonjwa waliokumbwa na virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu...

READ MORE

Moto Walipuka Kiwandani na Kuua watu 19

MOTO uliolipuka kwenye kiwanda kimoja kilichopo Mashariki mwa nchi ya China katika Jimbo la Ninghai umesababisha vifo vya watu 19....

READ MORE

Akamatwa Baada ya Kujificha Pangoni kwa Miaka 17

Polisi nchini China wamemkamata mhalifu ambaye amekuwa akijificha kwa miaka 17, baada ya kutumia ndege zisizokuwa na rubani kubaini pango...

READ MORE

China Yazindua Uwanja wa Ndege Mkubwa Zaidi Duniani

NCHI ya China imezindua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Daxing, ambao ni mkubwa zaidi duniani ambao umegharimu zaidi dola...

READ MORE

Mbunge Jaguar: Wachina, Watanzania Waondoke Kenya, Tutawapiga Mawe – Video

KENYA: Mbunge wa Jimbo la Starehe, Charles Njagua ‘Jaguar’,  amesema hataki kuwaona wafanyabiashara kutoka China, Tanzania na Uganda kwenye jimbo...

READ MORE

Mwanamke Ajidunga Sindano ya Juisi ya Matunda, Alazwa Mahututi

  MWANAMKE mmoja nchini China almanusura afariki dunia, baada ya kujidunga yeye mwenyewe sindano iliyosheheni mchanganyiko wa matunda yaliyotengenezwa kwa...

READ MORE

CHINA YAIPA BURUNDI BONGE LA IKULU, NI JIPYAA!

Balozi wa China nchini Burundi, Li Changlin na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Ezechiel Nibigira wamesaini hati ya...

READ MORE

MAREKANI YAISHTAKI KAMPUNI YA HUAWEI

  MAREKANI imeishtaki kampuni kubwa ya mawasiliano ya China, Huawei,  na ofisa mkuu wake wa fedha, Meng Wanzhou.   Mashataka...

READ MORE

Mitandao Yote Hii Imefungiwa Kabisa China

China ni nchi inayoongoza kwa kufungiwa mitandao mingi sana ya kijamii, website pamoja na applications. Baadhi ya sababu zilizoripotiwa kwamba...

READ MORE

Mrembo wa Mexico Aibuka Mshindi Fainali za Miss World 2018 – Video

Mrembo Vanessa Ponce de Leon kutoka nchini Mexico ameibuka mshindi wa taji la mrembo wa dunia 2018 kwenye shindano lililomalizika...

READ MORE

Wafanyakazi wapigwa faini kwa kutotembea hatua 180,000 kwa mwezi China

  Kampuni moja nchini China imeshutumiwa vikali kwa kuwapiga faini wafanyakazi wanaokosa kutembea takriban hatua 180,000 kwa mwezi.   Kulingana...

READ MORE

DKT. BASHIRU AKIWA CHINA AANIKA KAZI KUBWA ALIYOIFANYA JPM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,  CCM Dkt. Bashiru Ally amesema serikali ya awamu ya TANO inayoongozwa na Rais Dkt....

READ MORE

Aua Wanafunzi Tisa Kwa Kisasi China, Ahukumiwa Kifo

ZHAO ZEWEI raia wa China anayesemekana ana umri wa miaka itapayo 28 amehukumiwa kifo na Mahakama ya Jiji la Yulin...

READ MORE

Wachina Wagombea Kalio la Aunty Lulu! – Video

KATIKA hali ya kustajabisha, Wachina ambao hawakuweza kufahamika majina yao, wamenaswa wakipagawa na kugombea kumshika kalio, mtangazaji maarufu Bongo, Lulu...

READ MORE

Mke na Mme Waliokamatwa na Madawa China, Familia Yaanika A-Z

  Sakata la Watanzania wawili ambao ni mke na mume kukamatwa na dawa za kulevya ‘unga’ nchini China na mtoto...

READ MORE

Mtoto Arudishwa Tanzania, Baada ya Wazazi Kunaswa na Madawa China

WATANZANIA wawili mume na mke waliotambulika kwa majina ya Baraka Malali na mkewe Ashura Mussa wamekamatwa na dawa za kulevya...

READ MORE