The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

China

Puto Lasitisha Ziara ya Waziri Blinken China

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken ameahirisha safari yake ya kwenda China kwa mazungumzo na waziri wa mambo ya nje taifa hilo, Wang Yi baada ya kuonekana kwa ‘puto’ ambalo Marekani imedai ni kifaa cha kijeshi…

China Yatangaza ‘Lockdown’ Mji wa Lanzhou

SERIKALI ya China imetangaza kufunga shughuli zote za kawaida kwenye mji wa Lanzhou wenye watu takriban milioni 4 na kuaamuru watu kutotoka nje isipokuwa kwa dharura ikiwa ni jitihada kudhibiti maambukizi. Vizuizi hivyo…

Maafa Mafuriko China

MIJI mitano mikubwa katika jimbo la katikati mwa China, Hubei, imetangaza hali ya hatari baada ya mvua kubwa kukatiza huduma ya umeme na kubomoa nyumba kadhaa na kupelekea Watu wapatao 6,000 kuhamishwa. Kwa mujibu wa Wizara…

Homa ya Mafua ya Ndege Yaibuka China

RAIA mmoja wa China mwenye umri wa miaka 41 amethibitishwa kuwa na kisa cha kwanza cha maambukizi ya homa ya ndege baada ya kubatiwa matibabu Maafisa hawakutoa maelezo kuhusu jinsi mtu huyo alivyoambukizwa virusi hivyo vya…

ATCL Yazindua Safari ya Guangzhou-China

Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) leo alfajiri Mei 8, 2021 imezindua rasmi safari za ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou nchini China. Uzinduzi huo uliofanyika kwenye Jengo Namba 3 la abiria (terminal 3) katika Uwanja wa…

WHO Kuanzisha Uchunguzi Chimbuko la Corona Wuhan

WATAALAMU kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) wameanza kuchunguza chimbuko la virusi vya corona kwa kutembelea hospitali moja mjini Wuhan nchini China, ambayo ni moja  ya hospitali za kwanza kuwatibu wagonjwa katika siku za kwanza za…

China Yaisamehe DR Congo

SERIKALI ya China imeisamehe Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo sehemu ya deni inaloidai, ili taifa hilo liweze kupambana na janga la virusi vya corona. Waziri wa Kigeni wa China, Wang Yi amesema china imeisamehe Kongo dola…