DC Chongolo Awaahidi Neema Wakazi wa Nakasangwe
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo, jana (Jumanne) aliwaahidi wakazi wa Nakasangwe Kata ya Wazo Hill, Dar es Salaam, kumaliza mgogoro wa ardhi uliokuwa ukiwakabili kwa kuwapatia hati halali za kumiliki ardhi hiyo.
Hatua…
