Moshi: Mzungu Ahukumiwa Jela Maisha kwa Madawa ya Kulevya
KILIMANJARO: Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kifungo cha maisha jela mwanamuziki Christina Biskasevskaja (26) raia wa Lithuania kwa makosa ya kukamatwa na madawa ya kulevya.
Christina alikamatwa Agosti 28, 2012…
