Rais wa Zamani Comoro Aomba Msaada Tanzania
Rais wa zamani wa Comoro, Ahmed Abdallah Sambi hivi karibuni alimuandikia barua rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambayo iliwekwa hadharani. Barua hiyo iligonga vichwa vya habari kwenye gazeti moja la kila siku…
