Diwani wa Chama cha Wananchi (CUF) Viti Maalum, Rukaiya M. Ally amejiuzulu nafasi yake ya udiwani kutoka kwa madai ya kukosa ushirikiano ndani ya chama hicho kuanzia ngazi ya tawi hadi taifa.
KWANZA kabisa naomba mimi na wewe msomaji wangu tumshukuru Mungu kwa kutufanya leo tuwe tunapumua. Mimi nina afya njema hakika namhimidi daima.
Baada ya kusema hayo leo nazungumzia kampeni ambazo vyama vilivyosimamisha…
WABUNGE wanane wa viti maalum wa Chama Cha Wananchi (CUF), walioshinda kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, Novemba 10 mwaka huu wamemwandikia barua Spika wa Bunge John Ndugai ya kutaka…
HATIMAYE Mbunge Mteule Viti Maalum Cuf, Hindu Mwenda, aliyefariki usiku wa kuamkia jana nyumbani kwake Kibada Kigamboni amezikwa leo makaburi ya Kisutu Dar na mamia ya wafuasi wa chama chake na wananchi wengine wa Dar…
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefafanua juu ya uteuzi wa wabunge wapya wa Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi (CUF).
Imesema kuwa imesikitishwa na kushangazwa na taarifa za Baraza Kuu la Taifa la chama hicho kwamba tume…
Kwa mujibu wa Ibara ya 78(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ikisomwa pamoja na kifungu cha 86(8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, sura ya 343, Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake cha tarehe 27 Julai…
JESHI la Polisi Kanda Maalum, Dar es Salaam, limeikataa barua ya Mbunge wa Temeke, Abdalah Mtolea, iliyokuwa inaomba wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kwenda kufanya usafi wa mazingira katika ofisi ya chama hicho iliyopo Buguruni,…
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, The Civic United Front (CUF) Julius Mtatiro amefunguka na kusema chama cha CUF hakina walinzi wa chama wenye bastola wala hakina walinzi wanaozunguka mitaani kufanya doria.…
MGOGORO wa ruzuku ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) unazidi kupamba moto baada ya mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba kwenda kuitetea mahakamani.…
Wakati mgogoro ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) ukizidi kutokota, Mwenyekiti anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahimu Lipumba anadaiwa kutaka kumvuta aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha Demokrasia…
VIONGOZI wa Matawi ya Hamasa Mkoa wa Dar es Salaam wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad leo wamemwomba Prof. Ibrahim Lipumba kuacha mara moja kuwavuruga wanachama wa chama hicho…
Wakili wa wanachama wa Cuf, Juma Nassoro, akihojiwa na wanahabari baada ya kusikiliza shauri lao.Baadhi ya wanachama wa Cuf wakiwa nje ya Mahakama Kuu.Na Denis Mtima/GplMAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetaja na kukubali…
Katibu Mkuu wa Chama CUF - Maalim Seif Sharif Hamad.BARUA YA BARAZA KUU LA CUF KWENDA KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA.CUF/HQ/KM/016/10 Date: 27/09/2016Jaji Francis S.K. Mutungi,Msajili wa Vyama vya Siasa,DAR ES SALAAMYAH: MSIMAMO NA…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIThe Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) kimepokea kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kile kinachoitwa “Msimamo na Ushauri wa Vyama vya Siasa kuhusu Mgogoro wa Uongozi wa Kitaifa wa Chama cha…