Daktari Feki Anaswa Akitoa Huduma za Kibingwa
MKAZI wa Kijiji cha Mudio, Kata ya Romu wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro, Othuman Kimaro, amekamatwa na vyombo vya dola akituhumiwa kujifanya daktari na kutoa huduma za kitabibu kwa wagonjwa, zikiwamo zinazotakiwa kutolewa na madaktari…
