Davina Apagawishwa na Keki
DAR ES SALAAM: Mwigizaji wa kitambo Bongo, Halima Yahya ‘Davina’ juzikati alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ‘birthday’ ambapo alijumuika na marafi ki zake kwenye Ukumbi wa Sparrows Launge uliopo Dar Free Market, Dar, lakini…
