Jipatie tiketi ya bure shoo ya Diamond Krismasi, Dar Live
Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.
UNATAKA kwenda shoo ya Diamond, Krismasi hii? Kama ndiyo, sasa unaweza kujipatia tiketi ya bure kwenda kwenye shoo hiyo kwa kujibu maswali katika Gazeti la Uwazi kesho Jumanne pamoja na Risasi…
