Dimpoz, Diamond Kuachia Ngoma ya Pamoja
Ommy Dimpoz amedokeza ujio wa ngoma mpya ya pamoja na kundi la Blaq Diamond kutoka nchini Afrika Kusini ambao walitamba na smash hit yao ‘’Summer Yo Muthi’’.
Blaq Diamond wapo nchini kukamilisha wimbo huo na kwa nyakati…
