×

Tag: Dimpoz

Dimpoz, Diamond Kuachia Ngoma ya Pamoja

Ommy Dimpoz amedokeza ujio wa ngoma mpya ya pamoja na kundi la Blaq Diamond kutoka nchini Afrika Kusini ambao walitamba...

READ MORE

Nisha Atamani Kuolewa na Dimpoz

Unaambia picha ya Ommy Dimpoz imemfanya msanii wa filamu Nisha Bebe kutamani kuolewa na msanii huyo wa muziki wa BongoFleva...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amanikirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh...

READ MORE

Mtoto wa P Funk Amponza Dimpoz

MTOTO wa prodyuza maarufu hapa nchini anayemiliki studio ya Bongo Record, Paul Matthysse ‘P Funk’, Patricia, amemponza msanii wa Bongo...

READ MORE

Hapa Ndipo Mondi Anapowapoteza

KWA staili yake ya maisha, mafanikio na ushawishi, mwanamuziki kinara wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni bingwa katika...

READ MORE

 Mobeto Amponza Dimpoz

WANANZENGO siyo watu wazuri! Ile tabia ya staa wa Bongo Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuwanyapianyapia warembo ambao walibanjuka...

READ MORE

DIMPOZ Afunguka Kuzaa na MZUNGU, Kuzuiliwa Kuimba – Video

Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpozi amelamba shavu nono kutoka GSM la Ubalozi na kufunguka kufurahishwa na nafasi hiyo.  ...

READ MORE

BELLA Awadisi Waliomposti DIMPOZ Akiwa Hoi “Angekufa….!” – Video

MWANAMUZIKI wa dansi nchini, Christian Bella ‘Mfalme wa Masauti’, amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na hali ya Rafiki yake...

READ MORE

DIMPOIZ: ‘NILIKULA SUMU’ USAHA ULIKARIBIA KWENYE MAINI

MSANII wa Bongo Fleva, Omary Nyembo maarufu kama Ommy DImpoz amefunguka A-Z kuhusu ugonjwa wake wa koo ulivyokuwa ukimsumbua na...

READ MORE

OMMY DIMPOZ AREJEA NCHINI, ASIMULIA ‘KIFO’ CHAKE

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amerejea nchini akitokea kwenye matibabu yake baada ya kuugua kwa muda mrefu...

READ MORE

Ommy Dimpoz: Naendelea Vyema Sana!

KUTOKANA na dua na maombi mengi nyingi kutoka kwa wasanii, mashabiki, jamaa na marafiki wa Msanii Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’,...

READ MORE

BASATA Waguswa na Hali ya Ommy Dimpoz

BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) ambalo pia ni walezi wa sanaa hapa nchini wameguswa na hali ya ugonjwa wa msanii...

READ MORE

BABA DIMPOZ AMLIPUA BABA DIAMOND

DAR ES SALAAM: HII ni vita ya wakubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya baba wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Omary...

READ MORE

Good Idea: Kiba, Ben Pol, Dimpoz, Harmonize Kubadili Mwonekano

IMEKUWA jambo la kawaida kwa wasanii wengi wa nje ya nchi kuja na mbinu tofauti ili kuwateka mashabiki na kuuza...

READ MORE

Dimpoz Umepiga Penyewe, Nini Kinakufanya Uwe Unalala?

KWAKO mkali wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’. Habari za kwako? Mambo yanakwendaje? Kitambo kidogo hatujaonana mwanangu, kwa muda...

READ MORE

OMMY DIMPOZ: NAIJUA SABABU YA BARAKA KUTOKA ROCKSTAR400

MSANII wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz, anayetamba na wimbo wake mpya wa Cheche amefunguka juu ya sakata lake na Baraka...

READ MORE

Dimpoz Mikononi Mwa Polisi Dar Masaa Matano

STAAA wa Bongo Fleva nchini, Ommy Nyembo aka ‘Dimpoz’, ambaye anatamba na kibao chake cha ‘Cheche, jana alikuwa kituo kikuu...

READ MORE

MUBENGA: DIMPOZ KAPOTEZA DIRA KIMUZIKI

MUBENGA aliyekuwa meneja wa msanii, Ommy Dimpoz, ameibuka na kusema kuwa tangu aache kumsimamia msanii huyo, amepoteza dira kimuziki, ndiyo...

READ MORE

Haa! Dimpoz Unaanzaje Kutembea na Mama?

MUZIKI wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva hivi sasa ni kitu kikubwa barani Afrika. Ile shida ya waasisi wake...

READ MORE

KIMENUKA MITANDAONI! DIMPOZ, KIBA WALIAMSHA DUDE

Mitandaoni bhana kuna mambo! Waswahili wanasema fumbo mfumbie mjinga mwerevu atalifumbua, kuanzia jana kwenye mitandao ya kijamii, kuna mafumbo yanayoendelea...

READ MORE

Mastaa Bongo Fleva Wanavyochuana kwa Mikoko!

Na Erick Evarist | Risasi Jumamosi: WASANII wa Marekani walitangulia kwa muda mrefu kabla wasanii wetu wa Bongo Fleva hawajaanza...

READ MORE

Bifu; Ommy Dimpoz amchana Nay wa Mitego

Ommy Dimpoz. Siku moja baada ya mwanamuziki Nay wa Mitego kutoa wimbo wake mpya uitwao ‘Shika adabu yako’ ambapo katika...

READ MORE