Taasisi ya Dkt. Mengi Yakutanisha Watu Wenye Ulemavu Katika Kumbukizi ya Muasisi Wao
TAASISI ya Dkt. Mengi Maarufu kama Dr. Reginald Mengi Foundation imeandaa hafla ambayo imewakutanisha watu wenye ulemavu kama sehemu ya kumbukizi ya muasisi wa taasisi hiyo Dkt. Reginald Mengi
Hafla hiyo iliyofanyika Jana katika…
