×

Tag: DRC

Tume ya Uchaguzi ya DRC yafuta kura za baadhi ya wagombea wa ubunge na udiwani

Tume ya uchaguzi ya Congo imesema kwamba imefuta kura zilizopigiwa wagombea 82 kati ya 101,000 waliowania viti vya bunge na...

READ MORE

Madereva wa Malori Waigomea TICTS Bandarini

MADEREVA malori wameigomea kampuni ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) kutokana ucheleweshaji mkubwa wa...

READ MORE

Islamic States Yathibitisha Kuhusika na Shambulio katika Mji wa Lume, DRC

KUNDI la kigaidi la Islamic State limethibitisha kuhusika kwenye shambulio la siku ya Alhamisi ambalo lililenga mji wa Lume, jimbo...

READ MORE

DRC Mwanachama Mpya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) leo Mach 29, 2022 wameidhinisha rasmi ombi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...

READ MORE

Watu Laki 4 Watoroka Mlipuko wa Volkano Congo

UMOJA wa Mataifa umesema kwamba zaidi ya watu 400,000 wametoroka Mji wa Goma nchini DR Congo kutokana na hofu ya...

READ MORE

Mlima wa Dhahabu Wagunduliwa DRC, Wanakijiji Waushambulia

Serikali ya DR Congo ililazimika kutuma maafisa wa polisi kuimarisha usalama katika eneo ambalo kanda moja ya video iliwaonyesha wanakijiji...

READ MORE

Mwili wa Balozi wa Italia Waagwa DRC

GAVANA wa Kivu Kaskazini, Carly Nzanzu, na Mshauri Mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameongoza maafisa...

READ MORE

Ebola Yarudi Tena DRC

Shirika la afya ulimwenguni WHO, limesema wafanyakazi wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamegundua kisa kipya cha virusi...

READ MORE

Breaking News: Waziri Mkuu DRC Ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Sylvestre Ilunga Ilunkamba,  amejiuzulu rasmi wadhifa huo na kuwasilisha barua yake...

READ MORE

Sekeseke Kung’olewa Spika DRC Lafika Pabaya

MUUNGANO wa vyama vya kisiasa wa FCC wa aliyekuwa rais wa Congo (DR), Joseph Kabila, umekiri kuwa kung’olewa kwa, Jeanine...

READ MORE

Tshala Muana Mbaroni Akidaiwa ‘Kumnanga’ Rais

SHIRIKA la kutetea haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (ACAJ), linataka maofisa wa usalama nchini humo kumwachilia...

READ MORE

Wafungwa Wafa Njaa, Kikombe cha Uji kwa Siku 3

WAFUNGWA katika Gereza la Bunia mkoani Ituri, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,  wanakabiliwa na baa la njaa, baada...

READ MORE

Wapinzani Wataka Kiongozi Aliyemkashifu Rais Aachiwe

MWANASIASA wa muungano wa upinzani wa Lamuka nchini Congo DR unaoongozwa na Martin Fayulu, wamevitaka vyombo vya usalama kumwachilia huru...

READ MORE

Wakatoliki Wakinukisha DRC, Kisa Pesa Kukombwa Benki Kuu

WAUMINI wa dini ya Kikristo wa Kikatoliki katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wamefanya maandamano katika maeneo mbali mbali...

READ MORE

MAITI YA TSHISEKEDI KUREJESHWA DRC BAADA YA MIAKA MIWILI

MWILI wa aliyekuwa kiongozi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Étienne Tshisekedi, utarejeshwa nyumbani Mei 30 na kuzikwa...

READ MORE

TAHARUKI! Rais Mpya wa CONGO Augua Ghafla Baada ya Kuapishwa

RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi (pichani kushoto) aliyeapishwa jana kushika nafasi hiyo ameugua ghafla alipokuwa akitoa...

READ MORE

Breaking News: Felix Tshisekedi wa Upinzani Aongoza Kura za Urais Congo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (Ceni) imemtangaza mgombea wa upinzani, Felix Tshisekedi kuwa anaongoza...

READ MORE

JWTZ Yapoteza Wanajeshi Wengine Watatu DRC

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kama mnavyofahamu linashiriki Ulinzi wa Amani ndani na nje ya Bara la...

READ MORE

Tamko la Serikal Kuhusu Madereva 24 Waliotekwa Kongo na Kikundi cha Mai-Mai

  SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imefanya jitihada za kuwaokoa madereva 24 waliotekwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya...

READ MORE