E bwana dah! Moze Iyobo hoi kwa busu
Musa Mateja
Hii iliwashangaza wengi, ilikuwa pale Escape One, Mikocheni jijini Dar ambapo Moze Iyobo na mchumba wake, Aunt Ezekiel walitinga kula bata.
Ili kuwarusha roho watu si Aunt akamvuta Moze na kumpiga bonge la busu, basi…
