#GlobalCelebrityUpdates: Baada Ya Davido Na Wizkid, Tekno Nae Adondosha Wino Na SONY Music.
Baada ya kufanya vizuri na single yake ya Pana, Tekno anazidi kupasua anga level za kimataifa.
Mtandao wa Billboard umethibitisha taarifa zilizokuwa zinasambaa juu ya SONY Music kutaka kumsignisha Tekno kwenye lebo yao. Kwa mujibu wa…
