KUBENEA: TUMEFUKUZWA NA MKUU WA WILAYA, HATUNA OFISI WILAYANI
Mbunge wa Ubungo, Saed kubenea amesema Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi kumufukuza kwenye ofisi yake ya ubunge iliyokuwa katika Manispaa ya Kinondoni ni kujitafutia ujiko kwa wakubwa wake wa kazi ili apandishwe cheo.…
