Zari Aleta Pozi Kaburini Kwa Mumewe Ivan
Zarinah Hassan maarufu kama Bossy Lady, ambaye ni mke wa zamani wa mfanyabiashara Ivan Ssemwanga, aliyefariki Mei mwaka huu, wiki iliyopita alitembelea kaburi lake lililoko Kayunga, jijini Kampala na kuleta mapozi mengi ya kujishaua.…
