The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

jela

Mke wa El Chapo Ahukumiwa Jela

Emma Coronel Aispuro amehukumiwa adhabu ya kutumikia jela miaka mitatu kwa makosa ya ulanguzi wa dawa za kulevya na utakatishaji fedha. Emma ni mke wa mlanguzi maarufu wa madawa ya kulevya nchini Mexico aliyeko gerezani…

Atupwa Jela kwa Kulawiti Mtoto

Octavian Kaijage (26) mkazi wa Kambarage Manispaa ya Shinyanga, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi wa darasa la nne (11) (jina limehifadhiwa), ambaye anasoma Shule ya Msingi Kambarage Mjini…

Wafungwa 1,800 Watoroka Jela

Mamlaka ya kitaifa ya magereza nchini Nigeria imethibitisha kwamba zaidi ya wafungwa 1,800 wametoroka jela nchini humo kufuatia shambulio la watu waliojihami kwa bunduki, maafisa walisema. Washambuliaji hao…

Polisi 9 Jela kwa Mauaji

Mahakama moja nchini Misri imewahukumu kifungo cha miaka mitatu maafisa tisa wa polisi kwa kosa la kumtesa na kupelekea kifo cha mchuuzi mmoja wa samaki. Taarifa hiyo imeelezwa na duru za mahakama nchini humo. Hukumu hiyo…

Babu Kuozea Jela, Kuchapwa Viboko

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemhukumu kifungo cha maisha jela na kumchapa viboko sita, mkazi wa Mtaa wa National Housing, Juliasi Katambi (65), baada ya kukutwa na hatia ya kumnajisi mtoto mwenye umri wa…