Jimmy Mafufu Ataka Mabachela Wapimwe Akili!
Na GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| ZA MOTOMOTO
MSANII wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu amewatolea uvivu waigizaji ambao umri wa kuoa au kuolewa umefi ka, lakini kwa kuendekeza starehe wameshindwa kufanya hivyo, akitaka wapimwe…
