JINI MTU-03
Kwa mbali kabisa nikiwa sielewi A wala B fahamu zangu zikiwa zimepotea, lakini kama nukta kumi ama kumi na moja nikawa huru katika mikono ya yule kiumbe, nikawa nahema kwa tabu, nukta nyingine za kuhesabika nilihisi kama nashikwa mkono…
