Maajabu! Jogoo Amuua Mmiliki Wake kwa Kumchoma Kisu
MTU mmoja ameuawa na Jogoo wake aliyekuwa amefungwa kisu mguuni kwa ajili ya mchezo uliopigwa marufuku wa kupambanisha jogoo Kusini mwa India.
Mmiliki wa jogoo alichomwa kisu usawa wa kati ya tumbo na nyonga…
