ARUSHA: AJICHINJA KOROMEA HADI KUFA, RPC AFUNGUKA! – VIDEO
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limethibitisha kifo cha Mkazi Mmoja wa Simanjiro, Razaro Kiolori (53) ambaye amefariki dunia baada ya kujichinja koromeo lake mwenyewe hadi kufa.
Akizungumza na Waandishi wa habari, Kamanda wa…
