Usajili wa Tuisila Kisinda Wazua Utata, TFF Yaibuka na Kutoa Tamko Rasmi
MCHEZAJI wa Klabu ya Yanga Tuisila Kisinda ambaye amejiunga na klabu hiyo akitokea Rs Berkane amezuiliwa kucheza baada ya usajili wake kuoneka kuchelewa. Mchezaji huyo alitambulishwa siku ya mwisho ya usajili amezua gumzo…
