Askari Aliyeuawa na Hamza Azikwa Karatu
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Mary Kipesha amewaongoza Maofisa wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali katika kuuaga Mwili wa askari Miraji Isingay ambaye alifariki dunia wakati wa mapambano ya askari na Kijana mmoja aitwaye…
