MSICHANA mwenyewe nilikuwa simfahamu. Tulikutana tu kwenye harusi ya rafiki yangu, akaniambia ananifahamu. Msichana alikwenda mbali zaidi, akaniambia niliwahi kuwa...