×

Tag: Kombe la dunia 2018

STARTIMES WAZIDI KUNOGESHA BURUDANI YA SOKA

  Katika kipindi hiki cha tetesi za usajili na usajili wa wachezaji katika ligi kubwa za Ulaya, Kampuni ya Star...

READ MORE

Makocha Waipa Ufaransa Ubingwa

MAKOCHA wa zamani wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic na Selemani Matola wametabiri kwamba Ufaransa inabeba Kombe la Dunia leo Jumapili...

READ MORE

Ratiba Ya Nusu Fainali Kombe La Dunia Nchini Urusi

  HAPA nimekuwekea ratiba ya mechi ya kutafuta mshindi wa tatu na Fainali michuanpo ya Fainali za Kombe la Dunia...

READ MORE

ENGLAND KUIVAA CROATIA NUSU FAINALI

CROATIA itaivaa England kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuwatoa wenyeji Urusi kwa penalti 4-3 kwenye mechi...

READ MORE

Brazil Out Kombe la Dunia, Yapigwa na Ubelgiji Bao 2-1

USIKU wa  leo Ubelgiji imewashangza wadau wengi wa soka baada ya kutinga nusu fanali ya michuano ya Kombe la Dunia...

READ MORE

ENGLAND YATINGA ROBO FAINALI KIBISHI

ENGLAND wamefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kushinda kwa penalti 4-3 MOSCOW, Urusi baada...

READ MORE

Croatia Yaiua Denmark, Yatinga Robo Fainali

Croatia wanakwenda ROBO FAINALI baada ya ushindi wa mikwaju ya penalti 3-2 dhidi ya Denmark… Penalti ya mwisho imepigwa na...

READ MORE

WAMENYOOSHWAA! MESSI, RONALDO WOTE NJE

MASTAA wa dunia, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wametupwa nje ya Fainali za Kombe la Dunia baada ya timu zao...

READ MORE

RATIBA YA MECHI ZA 16 BORA KOMBE LA DUNIA 2018

HAPA nimekuwekea ratiba ya mechi zote za hatua ya 16 bora michuanpo ya Fainali za Kombe la Dunia 2018 zizakazopigwa...

READ MORE

Kombe la Dunia 2018: Serbia 0-2 Brazil, Uswizi 2-2 Costa Rica

Mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia Brazil watakuwa wenyeji wa Mexico Samara Arena, Samara Jumatatu tarehe 2/7/2018. Hii ni...

READ MORE

Ujerumani Watupwa Nje Kombe la Dunia

Baada ya kuwaliza mbele ya mashabiki wa nyumbani wakiwa wenyeji wa Kombe la Dunia 2002, Ujerumani nayo imepata kuhisi uchungu...

READ MORE

RATIBA YA KOMBE LA DUNIA LEO JUMANNE

Tues June 26: Denmark v France (Group C) – Moscow (Luzhniki), 3pm Tues June 26: Australia v Peru (Group C)...

READ MORE

KOMBE LA DUNIA: NI URENO VS URUGUAY HUKU SPAIN WAKIKIPIGA NA URUSI

  Baada ya kwenda sare ya bao 1-1 na Iran usiku wa jana, timu ya taifa ya Ureno sasa itakutana...

READ MORE

Senegal Yapata Pointi Muhimu Kombe la Dunia

SENEGAL wamepambana na kupata pointi moja muhimu katika mchezo dhidi ya Japan kwenye Kombe la Dunia leo nchini Urusi, baada...

READ MORE

ENGLAND YATOA KICHAPO KIKALI KOMBE LA DUNIA

Timu ya Taifa ya England leo Jumapili imefanikiwa kutinga hatua ya mtoano ya michuano ya Kombe la Dunia baada ya...

READ MORE

Tunisia Wapigwa 5-2 na Ubelgiji, Watolewa Kombe la Dunia

TUNISIA leo imepokea kipigo kingine katika michuano ya Kombe la Dunia baada ya kukumbana na kipigo cha ‘mbwa mwizi’ cha...

READ MORE

MWANA FA: MIE HISPANIA ILA BRAZIL MABINGWA

STAA wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’, ameweka wazi kuwa yeye ni shabiki wa timu ya...

READ MORE

Wema Siye England Ndiyo Mabingwa Kombe la Dunia

ACHA kabisa kwani mastaa mbalimbali wameonekana kufuatilia kwa ukaribu mkubwa michuano ya Kombe la Dunia, sasa muigazaji Wema Sepetu amesema...

READ MORE

Nigeria Yawatafuna Iceland Bao 2-0

NIGERIA ilizinduka leo kwa kuichapa Iceland mabao 2-0, matokeo ambayo yamefufua matumaini yao ya kutinga kwenye hatua ya mtoano ya...

READ MORE

Coutinho na Neymar Watupia Dhidi ya Costa Rica

Timu ya Brazil, leo imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Costa Rica na kukaa kileleni mwa Kundi E katika...

READ MORE

Umaarufu Wa Kocha Senegal Haushikiki Urusi

  ALIOU Cissé ndiye kocha pekee Mwafrika katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi, umaarufu wake umekuwa mkubwa...

READ MORE

ARGENTINA YAPIGWA NA CROATIA BAO 3-0, Messi Hoi

Kikosi cha timu ya taifa ya Argentina kimeshindwa kutamba mbele ya Croatia baada ya kukumbana na kichapo cha mabao 3-0....

READ MORE

RONALDO, HISPANIA VITANI KUSAKA TIKETI YA MTOANO

CRISTIANO Ronaldo akiongoza timu yake ya Ureno na Hispania zina kibarua kizito cha kufungua njia ya kufuzu kwa hatua ya...

READ MORE

SENEGAL HATARI, YAWAPIGA POLAND

SENEGAL imekuwa timu ya kwanza kuwatoa kimasomaso Waafrika baada ya jana Jumanne kuichapa Poland mabao 2-1, kwenye mchezo wao wa...

READ MORE

UFARANSA YAANZA VIZURI KOMBE LA DUNIA DHIDI YA AUSTRALIA

Ufaransa imefanikiwa kuibuka na ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu nchini Russia wa mabao...

READ MORE

Ronaldo Aanza Na Hat Trick Urusi

  CRISTIANO Ronaldo alianza kwa kishindo Fainali za Kombe la Dunia baada ya kupiga mabao matatu yaliyosaidia timu yake ya...

READ MORE

KOMBE LA DUNIA: URUSI YAINYUKA SAUDI ARABIA 5-0 (VIDEO)

MCHEZO wa ufunguzi wa michuano ya fainali ya Kombe la Dunia umemalizika Uwanja wa Luzhniki kwa wenyeji Urusi kuibuka na...

READ MORE

KOMBE LA DUNIA: NI VITA YA URUSI VS SAUDIA ARABIA LEO JIONI

  KIPUTE cha Kombe la Dunia kinatarajiwa kuanza leo kwa wenyeji Urusi kuvaana na Saudia Arabia kwenye mchezo unaosubiriwa kwa...

READ MORE

Hawa Wataenda na Kombe Kwao…Kombe la Dunia

FAINALI za Kombe la Dunia zinatarajiwa kuanza kesho na mataifa mbalimbali yameshawasili nchini Urusi kwa ajili ya kujiandaa kuingia uwanjani....

READ MORE

Ufaransa Wababe Wanaopewa Nafasi Urusi 2018

KUNA mataifa mengi yanapewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye Kombe la Dunia mwaka huu.   Zikiwa zimebaki siku nane...

READ MORE