RC WA NYERERE ALIA KUTAPELIWA NYUMBA KURASINI
MZEE Juma Waziri Juma ambaye aliwahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini enzi za utawala wa Mwalimu Julius Nyerere, amemwangukia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwa kumtaka aingilie kati kufuatia…
